Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Yawezekana Wana Shida Ya Rasilimali WatuSema hawa jamaa wapo kama vile hawapo hawaonekani kufanya kazi kama ilivyokuwa SUMATRA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakuwa Taasisi Moja Imegawanywa Sehemu Mbili
Halafu Haiziingiliani Kwenye Utendaji
Kuna Nchi Kavu Tu & Majini Tu