Sumaye apinga SERIKALI TATU

Sumaye apinga SERIKALI TATU

Kweli mkuu,nyumbani ni nyumbani hata iwe vichakani.
Nilichaguliwa mtaani kwangu niwakilishe kwenye mabaraza ya katiba. Uongozi wa kata ukaondoa jina langu ili kuweka wana CCM. Nalazimika kuwasilisha maoni haya hapa JF, maana sina tena pa kusemea!!!
 
Naisubiri serekali moja tu ya mwaka 1961!

Walio pendekeza serikali tatu ni G55, hawana uchungu na pesa za walala hoi. wanatamani nchi ibaki masikini kwa miaka mingine 50.hapa ni serikali moja au tuachane na MUUNGANO.
 
Kwa hiyo muundo waserikali mbili siyo gharama,kule Zanzibar wawe na serikali yao,Huku Tanganyika hapana,kisha tuwe na Tanzania inayogharamiwa na Watanganyika tu, hii si sawa Kama ni kunyonywa yatosha,yaani
kama ni muungano ni aidha serikali moja au tatu Full stop,Yeye anafikiri Marekani wana serikali moja,SIYO, Wana serikali Hamsini na mbili,51 za ndani na moja Federali na hapa tunahitaji TATU,Mbili(TANGANYIKA&ZANZIBA)
za ndani na Moja ya Tanzania ambayo ni FEDERALhongera TUME.
 
Akili ya Sumaye ilishachoka siku nyingi, alishawahi kuhojiwa ni kwa nini Tanzania ni maskini akajibu hata yeye hajui ni kwa nini, imagine miaka 10 kama Waziri Mkuu hujui nchi ni kwa nini maskini ulikuwa unafanya nini kwenye hiyo nafasi?

Rasimu ya katiba mpya ni maoni yetu Wananchi yeye akafie Uyole kama anadhani hizi bado ni enzi za haambiliki.

Usipate tabu na kumshangaa SUMAYE na kauli hizo historia yake si mtu mwenye kujituma kufikiri, alikuwa fundi mchundo akikoroga mavi ya ng'ombe kutoa gesi asilia ya kupikia kule Arusha kabla hajaokotwa kuwa naibu waziri wa kilimo. usimtegemee kuwa na creative thinking, ni mwenye kuangalia chini sio mbele, ukiona mtu anaangalia chini basi ameshakataa tamaa, na yeye amekata tamaa haka huko kwao Hydom wanajua ndio kila uchaguzi wanampiga na chini.
 
Tanganyika itajiendesha yenyewe kwa gharama zake na wazanzibar watajiendesha wenyewe, tutachangia gharama serikali ya shirikisho vinginevyo muungano ufe.
 
Yangu Tanganyika tu ingine cjui

hapa palipo baki ni kuwa na huu huu muungano wa serekali 3 lakini wizara ya mambo ya nje uhamiaji usajili wa vyama vya siasa na benk kuu vishukhulikiwena nchi washirik wa muungano, uraiya tutatumia uraiya wa tanzania tanganyika passport tanzania zanzibar passport
 
Tunahitaji ziwe nne. Iongezeke na Serikali ya Mafia.

Naona hii uliiandika bado viloba vipo kichwani. Siyo bure hii! Kule Mafia ulishakia wana nembo yao? kule Mafia ulishasikia kila kijiji kinataka kupeleke Mbunge Dodoma eti kila kijiji ni jimbo la uchaguzi? Hivi wewe uoni kama Zanzibar ni zigo kubwa sana kwa gharama za kuendesha bunge? Mbunge mmoja wa Zanzibar anawakilisha watu wangapi? we unajua hii? Hebu linganisha na mbunge wa Uyui uone kioja hicho. Mafia kuna mbunge mmoja tu!

Achana na zanzibar wajiendeshee visiwa vyao tupunguze hili zigo la kubeba wabunge kutoka kila kijiji huko! Eti uwiano! Uwiano kwa faida gani hasa tunayoipata? A wastage money, a wastage of time kujadili matapeli wa kisiasa wanaowaza kupata tu kila siku pasipo kutoa. the union is a bunch of nonesense....
 
Kwani Nyerere aliwahi kuwa Mzanzibari? na huyu tunayemjadili nae kazaliwa Mchambawima?
Ukiona mtu anatetea serikali mbili jua ni MNAFIKI na MZANDIKI!!! Jiulize kwa nini chako chako na changu chetu?
 
Hiyo rasimu lazima ichakachuliwe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kama tunataka muungano ni aidha serekali moja ama mbili, laa sivyo ya ussr yatajirudia kuna raisi atakosa nji ya kuongoza!
Naamini unaposema tuwe na serikali mbili tu, unamaanisha tuwe na Serikali ya Tanganyika na serikali ya Muungano basi, wazanzibar tutawabeba kwenye serikali ya muungano.
Why? Zanzibar ni nchi ndogo sana kieneo, watu na kiuchumi kuwa na serikali ya Zanzibar ni mzigo mzito tena usio na sababu.
Nimejaribu kukufanya ufikiri nje ya box!!!

Binafsi mimi ninataka tuwe na serikali 3 ama tuwe na serikali moja, Why? Ili tuwe na muungano imara na wenye usawa, otherwise kuna upande utamnyonya wenzie tu.
 
kwa kuwa mambo yanayoshughulikiwa na Muungano yanaonyesha kupunguzwa hadi kufikia 7 kama tume ilivyoshauri,nadhani ni wakati muafaka wa kuwa na serikali 3.Kwani baadae yatapungua na kufikia 0 na hapo kila upande utaendelea na serikali yake,ni wakati Tanganyika ikawa na serikali kujiandaa na hilo
 
Akili ya Sumaye ilishachoka siku nyingi, alishawahi kuhojiwa ni kwa nini Tanzania ni maskini akajibu hata yeye hajui ni kwa nini, imagine miaka 10 kama Waziri Mkuu hujui nchi ni kwa nini maskini ulikuwa unafanya nini kwenye hiyo nafasi?

Rasimu ya katiba mpya ni maoni yetu Wananchi yeye akafie Uyole kama anadhani hizi bado ni enzi za haambiliki.

aliyewahi kuhojiwa kwa nini tanzania ni masikini wakati ina mali nyingi na kujibu hajui sio sumaye, ni mh. dr jakaya kiwete, msiwe mnapotosha umma
 
Muungano na Visiwani ni hasara kubwa kwa bara!

Je pesa za kugharamia Wizara za Muungano zitatoka wapi?

Zitatoka Bara?

Maana Visiwani ni maskini hawana cha kuchangia!
 
Akili ya Sumaye ilishachoka siku nyingi, alishawahi kuhojiwa ni kwa nini Tanzania ni maskini akajibu hata yeye hajui ni kwa nini, imagine miaka 10 kama Waziri Mkuu hujui nchi ni kwa nini maskini ulikuwa unafanya nini kwenye hiyo nafasi?

Rasimu ya katiba mpya ni maoni yetu Wananchi yeye akafie Uyole kama anadhani hizi bado ni enzi za haambiliki.

recheck your facts!. alikuwa Sumaye au Kikwete kwenye mkutano wa World Economic Forum?.....inaonekana unamchukia Sumaye kiasi kwamba hata akili yako haifanyi kazi vizuri.

ipo siku utasema mwenyekiti wa ccm ni Nape mnauye...maana hata signature yako ni upuuzi mtupu
 
Sijui huyu naye ni Rais?

View attachment 96744

Tehe tehe tehee! Duh! Mkuu hiyo Cheki anayoichekelea Mkuu wa Kaya ili hali imekosewa Two hundred thousand inakuaje 300,000. Lakini huenda alisoma vile vitabu aloonesha Mbattia Bungeni (7 x 2 = 15). Kah! Lahaula!! Huyo ni Dr Dr (Moja ya UDOM, nyingine ya Muhimbili) lakini Mzungu kampotezea bila yeye kujua. Je ile mikataba 17 ya Uchina nayo aliisoma kweli? TUMEKWISHA!!!
 
Back
Top Bottom