Bobwe
JF-Expert Member
- May 21, 2013
- 1,232
- 326
Kweli mkuu,nyumbani ni nyumbani hata iwe vichakani.Maoni yangu ni serikali mbili. Ya Tanganyika na ya Zanzibar...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu,nyumbani ni nyumbani hata iwe vichakani.Maoni yangu ni serikali mbili. Ya Tanganyika na ya Zanzibar...
Nilichaguliwa mtaani kwangu niwakilishe kwenye mabaraza ya katiba. Uongozi wa kata ukaondoa jina langu ili kuweka wana CCM. Nalazimika kuwasilisha maoni haya hapa JF, maana sina tena pa kusemea!!!Kweli mkuu,nyumbani ni nyumbani hata iwe vichakani.
Naisubiri serekali moja tu ya mwaka 1961!
Huyo jamaa aliyepost hiyo kitu ni lazima,atakuwa anatoka kipande kimoja na mzee wa Kiraracha!nji = Nchi?
Akili ya Sumaye ilishachoka siku nyingi, alishawahi kuhojiwa ni kwa nini Tanzania ni maskini akajibu hata yeye hajui ni kwa nini, imagine miaka 10 kama Waziri Mkuu hujui nchi ni kwa nini maskini ulikuwa unafanya nini kwenye hiyo nafasi?
Rasimu ya katiba mpya ni maoni yetu Wananchi yeye akafie Uyole kama anadhani hizi bado ni enzi za haambiliki.
waandishi makanjanja...!
Yangu Tanganyika tu ingine cjui
Tunahitaji ziwe nne. Iongezeke na Serikali ya Mafia.
Ukiona mtu anatetea serikali mbili jua ni MNAFIKI na MZANDIKI!!! Jiulize kwa nini chako chako na changu chetu?Kwani Nyerere aliwahi kuwa Mzanzibari? na huyu tunayemjadili nae kazaliwa Mchambawima?
Naamini unaposema tuwe na serikali mbili tu, unamaanisha tuwe na Serikali ya Tanganyika na serikali ya Muungano basi, wazanzibar tutawabeba kwenye serikali ya muungano.kama tunataka muungano ni aidha serekali moja ama mbili, laa sivyo ya ussr yatajirudia kuna raisi atakosa nji ya kuongoza!
Akili ya Sumaye ilishachoka siku nyingi, alishawahi kuhojiwa ni kwa nini Tanzania ni maskini akajibu hata yeye hajui ni kwa nini, imagine miaka 10 kama Waziri Mkuu hujui nchi ni kwa nini maskini ulikuwa unafanya nini kwenye hiyo nafasi?
Rasimu ya katiba mpya ni maoni yetu Wananchi yeye akafie Uyole kama anadhani hizi bado ni enzi za haambiliki.
Teh teh teh!kwa hiyo Zanzibar kuna nchi mbili?mbona mi nakubali serekali tatu: Tanganyika, Pemba na Unguja! Kila mtu na chake yaishe!