Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Mi nashangaa watu wanapaniki niniSchool bash hio acha madogo wapooze akili
Sisi tulikuwa nazo karibia mara mbili kwa mwezi
Sanaa kwa kweliEnzi hizo sisi tulicheza sana na wadada kutoka shule fulani hv
Ilikua safi sana.
ni shule gani hii hapo sumbawanga?Katika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike.
Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni?
Angalia hii video chini harafu utoe maoni yako.
Hii ni shule zote Tanzania form 1 hadi 6Kweli. Nimekwazika Sana na Huu uchafu. Iweje watoto waruhusiwe kucheza Disco shuleni tena bila monitoring
kuna watu mna mawazo mgando sana sasa hapo kuna shida gani? mimi nimesoma a level songea boy 90's haya mambo tulikua yanafanyika wanakuja wanafunzi wa songea girls mnacheza nao disco next sisi tunaenda shuleni kwao wala hakukua na shida sometime tuwaache wanetu nao wapate burudaniKatika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike.
Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni?
Angalia hii video chini harafu utoe maoni yako.
Kuna alikuwa kiongozi dini kabisa mimba ikamuumbuaMimba wanapewa hata ambao hawaendi disco.