Sumbawanga: Disko zipigwe Marufuku mashuleni

Sumbawanga: Disko zipigwe Marufuku mashuleni

Mbona kawaida tu,sijaona kilichoharibika hapo

Acheni utakatifu wenu wa kishetani pimbi nyie
 
Mbona haya mambo yako miaka nenda rudi, au ndo umeona leo mleta mada.

Mika yote huwa hvyo
 
Enzi hizo sisi tulicheza sana na wadada kutoka shule fulani hv

Ilikua safi sana.
 
School bash hio acha madogo wapooze akili
Sisi tulikuwa nazo karibia mara mbili kwa mwezi
Mi nashangaa watu wanapaniki nini
Hii nzuri sana kwa watoto wa shule za jinsia moja

I look back i enjoyed it na mwanangu ntamfundisha to study hard and enjoy life as well
Hapo unakuza Social skills za mtoto
Mpe tu mbinu enjoy music usiwe forced to dance wth anyone wala kukubali chochote against ur will
 
Katika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike.

Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni?

Angalia hii video chini harafu utoe maoni yako.

ni shule gani hii hapo sumbawanga?
 
Katika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike.

Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni?

Angalia hii video chini harafu utoe maoni yako.

kuna watu mna mawazo mgando sana sasa hapo kuna shida gani? mimi nimesoma a level songea boy 90's haya mambo tulikua yanafanyika wanakuja wanafunzi wa songea girls mnacheza nao disco next sisi tunaenda shuleni kwao wala hakukua na shida sometime tuwaache wanetu nao wapate burudani
 
Mbona hakuna shida, tena watoto wa kike wakicheza wanashikwashikwa au kubambiwa na wanaume ndio wanarefresh mind na kujisikia vizuri, miaka ya nyuma shule za girls wanafunzi walikua wanafikia hatua wanachekacheka Tu mpaka uwaitie shule ya boys wacheze mziki washikweshikwe ndio wanapona
 
Back
Top Bottom