Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
Hawajakutwa na jamboHalafu kuna watu wanajifanya wana harakati wanapinga adhabu ya kunyongwa, matukio kama haya adhabu ni kifo tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajakutwa na jamboHalafu kuna watu wanajifanya wana harakati wanapinga adhabu ya kunyongwa, matukio kama haya adhabu ni kifo tuu
Walimroga mama Yako?Sumbawanga ni wachawi aisee
Acha ubishi ushayasikia haya matukio pwani au zanzibarWalimroga mama Yako?
Jinga kweli wewe,Bagamoyo ,Tanga wanakofutanuchawi ni Burundi? Huwa unatunza rekodi? Umewahi isikia Rukwa kwenye Mikoa inayoongiza Kwa matukio ya mauaji?Acha ubishi ushayasikia haya matukio pwani au zanzibar
Acha ubishi basi huko mbeya tena kuna katekista kazikwa akiwa hai damn.......Jinga kweli wewe,Bagamoyo ,Tanga wanakofutanuchawi ni Burundi? Huwa unatunza rekodi? Umewahi isikia Rukwa kwenye Mikoa inayoongiza Kwa matukio ya mauaji?
Mbona kwenye bandiko hakujaripotiwa uchawi ni mauaji ya silaha za kijadi tuSumbawanga ni wachawi aisee
Laiti ningekuw Rais kuna Kesi aisee wakihukumiwaa Kunyongwaa ni faster nasainii wakale kitanzii...!! Watu kama hawa ni kunyongaaaaa hadharani tena.Ndio maana adhabu ya kunyonga ikawekwa na sheria yake haijafutwa hadi leo...
Yaani 1.8mil ndio ya kuua mtu kweli!!
NilijichanganyaWahalifu mlikuwa wanne kumbe, sio watatu.
Wapumbavu hao, watavuna uovu waoSumbawanga. Jeshi la Polisi mkoani Rukwa, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumpiga na kumpora fedha zaidi ya Sh 1.8 milioni kisha kumzika akiwa hai mfanyabiashara wa mazao, Baraka Nyangala (30) na kumsababishia umauti.
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, Kamishina msaidizi wa Polisi (ACP), Shadrack Masija alisema tukio hilo lilitokea juzi kijiji cha Katazi wilayani Kalambo, ambako walikwenda kununua maharagwe wakiwa wote wanne; watuhumiwa na mfanyabiashara huyo.
Alisema mfanyabiashara huyo mkazi wa mtaa wa Kasisiwe Manispaa ya Sumbawanga akiwa na wenzake hao waliotambulika kwa majina kama Frank Simsokwe (33), Edfonsi Simsokwe (28) na Nikas Lunguya (38) wakitumia usafiri wa pikipiki, walipofika maeneo ya porini walimtaka asimamishe pikipiki yake.
Kamanda huyo alisema baada ya kusimamisha pikipiki hiyo mmoja kati ya watu hao alimpiga kwa rungu kichwani kisha kumpora fedha taslimu Sh1.84 pamoja na pikipiki.
Alisema baada ya kumjeruhi na rungu kichwani, waliamua kuchimba shimo porini kisha kumfukia mfanyabiashara huyo akiwa bado yupo hai na wao kutokomea kusikojulikana.
Alisema baada ya kutoweka ghafla kwa mfanyabiashara huyo, ndugu wa marehemu walitoa taarifa Polisi ambao kwa kutumia intelijensia na wataalamu wa uhalifu wa kimtandao, walifanikiwa kuwakamata watu hao.
ACP Masija alisema watuhumiwa hao waliwaongoza hadi eneo ambalo waliufukia mwili wa marehemu ambapo ulifukuliwa kwa uchunguzi na taratibu nyingine za kuukabidhi mwili huyo kwa ndugu zao kwa ajili ya maziko.
Alisema watuhumiwa hao bado wanashikiliwa na Polisi na watafikishwa mahakamani mara baada ya uchunguzi wa awali kukamilika.
Tundu lisu na dereva wake waligoma kutoa ushirikianoMilioni 1.8? Halafu polisi intelenjensia yenu imeshindwaje kuwakamata watesaji wa Tundu Lissu?
Moyo wa mtu ni kiza kinene na daima kikulacho ki nguoni mwakoSumbawanga. Jeshi la Polisi mkoani Rukwa, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumpiga na kumpora fedha zaidi ya Sh 1.8 milioni kisha kumzika akiwa hai mfanyabiashara wa mazao, Baraka Nyangala (30) na kumsababishia umauti.
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, Kamishina msaidizi wa Polisi (ACP), Shadrack Masija alisema tukio hilo lilitokea juzi kijiji cha Katazi wilayani Kalambo, ambako walikwenda kununua maharagwe wakiwa wote wanne; watuhumiwa na mfanyabiashara huyo.
Alisema mfanyabiashara huyo mkazi wa mtaa wa Kasisiwe Manispaa ya Sumbawanga akiwa na wenzake hao waliotambulika kwa majina kama Frank Simsokwe (33), Edfonsi Simsokwe (28) na Nikas Lunguya (38) wakitumia usafiri wa pikipiki, walipofika maeneo ya porini walimtaka asimamishe pikipiki yake.
Kamanda huyo alisema baada ya kusimamisha pikipiki hiyo mmoja kati ya watu hao alimpiga kwa rungu kichwani kisha kumpora fedha taslimu Sh1.84 pamoja na pikipiki.
Alisema baada ya kumjeruhi na rungu kichwani, waliamua kuchimba shimo porini kisha kumfukia mfanyabiashara huyo akiwa bado yupo hai na wao kutokomea kusikojulikana.
Alisema baada ya kutoweka ghafla kwa mfanyabiashara huyo, ndugu wa marehemu walitoa taarifa Polisi ambao kwa kutumia intelijensia na wataalamu wa uhalifu wa kimtandao, walifanikiwa kuwakamata watu hao.
ACP Masija alisema watuhumiwa hao waliwaongoza hadi eneo ambalo waliufukia mwili wa marehemu ambapo ulifukuliwa kwa uchunguzi na taratibu nyingine za kuukabidhi mwili huyo kwa ndugu zao kwa ajili ya maziko.
Alisema watuhumiwa hao bado wanashikiliwa na Polisi na watafikishwa mahakamani mara baada ya uchunguzi wa awali kukamilika.
Huyu mupe yure murukeMilioni 1.8? Halafu polisi intelenjensia yenu imeshindwaje kuwakamata watesaji wa Tundu Lissu?