Sumu na dawa maalum ya kufukuza na kuangamiza popo..sumu na dawa ya popo

Sumu na dawa maalum ya kufukuza na kuangamiza popo..sumu na dawa ya popo

Joined
Nov 7, 2021
Posts
41
Reaction score
23
Hello..
Popo wamekua ni changamoto kubwa sana kwa mazingira yetu ya majumbani na mazingira yanayotuzunguka.Popo husababisha madhara na uharibifu katika nyumba zetu kama
1. Uchafuzi wa nyumba zetu kama madari na ukuta
2. Kelele nyakati za usiku
3. Popo ana uwezo wa kubeba virusi vya magonjwa mbalimbali
4. Popo hubeba kunguni, haya ni madhara machache ya popo katika majumba yetu..

Hapa nakuletea dawa maalum kwa ajili ya kuangamiza na kuteketeza kabisa popo katika mazingira yako,, popo wote watakufa na kukimbia katika mazingira yako.

Kwa uhitaji wa dawa hii unaweza kunipata kwa no. Hii 0762647575 na 0672930347. Kwa sasa napatikana mikoa ya Arusha na Moshi ila mkoa wowote naweza kukutumia. Pata dawa hii kuweka mazingira yako safi, salama.
Bei ya dawa ni sh 60,000 kwa kopo moja... Kopo lina kama uzito wa kilo moja kwa ujazo huu unauwezo wa kuua na kukimbiza maelfu ya popo.. Ufanisi wa dawa hii ni asilimia Mia moja 100%
 

Attachments

  • photo popo.PNG
    photo popo.PNG
    634.5 KB · Views: 45
  • photo popo.PNG
    photo popo.PNG
    634.5 KB · Views: 41
Labda popo wa dar
Mimi popo walinizungua sana
Ila dawa ya popo bila kuwaua ni moto au mwanga mkali sana lazima wahame!

Usiue wafanye namna ya kutoka ulipo waende mbali.
 
Labda popo wa dar
Mimi popo walinizungua sana
Ila dawa ya popo bila kuwaua ni moto au mwanga mkali sana lazima wahame!

Usiue wafanye namna ya kutoka ulipo waende mbali.
mkuu hii inaua wote , ni dawa/sumu ya kuua wote sio kukimbiza/kufukuza.. karibu
 
Labda popo wa dar
Mimi popo walinizungua sana
Ila dawa ya popo bila kuwaua ni moto au mwanga mkali sana lazima wahame!

Usiue wafanye namna ya kutoka ulipo waende mbali.
karibu boss hii ni kiboko ya kuangamiza kizazi chote cha popo katika mazingira ..karibu
 
Back
Top Bottom