Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kwa wanaume ni kubeba ndugu yake tu
maisha yataendelea!!! unajua wanaume mnajidanganya hapo tu mnapofikiri wanawake tunapoamua kuwachekea basi yameisha, na sisi tuna mioyo ati..... wakati mwingine mtu anakaa kimya lakini anajipanga kwa chini chini hakuna anayependa kuishi kwa kuwekwa roho juu kila siku kuwa ataachwa!
sawa kumegewa ila ukijulikana utajibeba.
hata kwa wanaume dawa ya moto ni moto
Wanawake hatupendani kabisaaa!!!
Sio kweli, mwanaume anaweza kuoa wanawake hata 300 kama mfalme Daud lakini kamwe mwanamke hawezi kuolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja hata wewe unalijua hilo !
NaamUsemi huo nilikutana nao kijiweni, wazee wakipongeza uamzi wa dini kuwa na wake wanne, kwamba mwanamke akijua kuna mwanamke mwenzake basi ananyoka vizuuuuriiii, hutasikia habari za usawa katika familia.
Maneno haya nimeyaamini baada ya kisa hiki kunitokea, nipo na mpzi wangu nampenda sana na nimejiapiza ndo atakuwa mke wangu, kuna wakati akaanza kunisumbua, nilichokifanya ni kujenga mazingira nataka kurudiana na x wangu, kwamba ananibembeleza sana na hata anatumia ndugu zangu kunishawishi turudiane, kwa kweli nampiga fix tu, tokea nioneshe hivyo mpenzi wangu kanyooka kama mti wa muashoki, ule usumbufu wake wa mwanzo umekwisha kabisa, ananibembeleza kama mfalme.
Nimeamini SUMU YA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE.