Sumu ya mwanamke ni mwanamke mwenzie

Sumu ya mwanamke ni mwanamke mwenzie

maisha yataendelea!!! unajua wanaume mnajidanganya hapo tu mnapofikiri wanawake tunapoamua kuwachekea basi yameisha, na sisi tuna mioyo ati..... wakati mwingine mtu anakaa kimya lakini anajipanga kwa chini chini hakuna anayependa kuishi kwa kuwekwa roho juu kila siku kuwa ataachwa!

Mwambie mkuu tena kisasi cha mwanamke ni kibaya sana
 
Mhh! Inategemea na ntu na ntu rafiki wapo wanaotishiwa nyau na wanaweweseka lakini wengine utaweweseka wewe
 
!
!
hakuna cha sumu wala nini!...its all about fate, kama wako ni wako tu na kama sio hatakuwa hata uzikili uch
i
 
hata kwa wanaume dawa ya moto ni moto

Sio kweli, mwanaume anaweza kuoa wanawake hata 300 kama mfalme Daud lakini kamwe mwanamke hawezi kuolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja hata wewe unalijua hilo !
 
Sio kweli, mwanaume anaweza kuoa wanawake hata 300 kama mfalme Daud lakini kamwe mwanamke hawezi kuolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja hata wewe unalijua hilo !

mmmmh sijabisha lakini coz wapo watu wanamioyo ya makaa ya mawe sjui
 
Usemi huo nilikutana nao kijiweni, wazee wakipongeza uamzi wa dini kuwa na wake wanne, kwamba mwanamke akijua kuna mwanamke mwenzake basi ananyoka vizuuuuriiii, hutasikia habari za usawa katika familia.

Maneno haya nimeyaamini baada ya kisa hiki kunitokea, nipo na mpzi wangu nampenda sana na nimejiapiza ndo atakuwa mke wangu, kuna wakati akaanza kunisumbua, nilichokifanya ni kujenga mazingira nataka kurudiana na x wangu, kwamba ananibembeleza sana na hata anatumia ndugu zangu kunishawishi turudiane, kwa kweli nampiga fix tu, tokea nioneshe hivyo mpenzi wangu kanyooka kama mti wa muashoki, ule usumbufu wake wa mwanzo umekwisha kabisa, ananibembeleza kama mfalme.

Nimeamini SUMU YA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE.
Naam
 
Back
Top Bottom