sumu ya ndoa ni ...

sumu ya ndoa..poor communication, kutokuvumilia upungufu wa mwanandoa, kutoheshimu (ndugu na wazazi wa mwanandoa), kutokutoa fursa au nafasi ya mwanandoa kufanya mambo yake binafsi (kubabana), kufulia, kutokufanya private outing.
 
Sumu ya ndoa ni kwa wanandoa kutotimiziana mahitaji ya kimwili. " yaani kutoridhishana kimapenzi"
 
Sumu ya ndoa ni kunyimwa unyumba,( mambo ya unyumba yakiwa yanakwenda vizuri, kila kitu kinafunikwa, hata kama ana wivu kupindukia, mchafu, mvivu, unakuta mwanamme anapika , huku akipiga mluzi, viwifi , kapewa madawa huyu, atapikaje na mkeo yupo nyumbani, kumbe hawajui kaka yao mambo anayopewa
 


samahani naomba project yako ikiisha unagawie ka mshiko kidogo

Am kidding ...teh teh
 
Sumu ya ndoa? Ahaaa! Kutofikishana kileleni.
 
Hahaha! Mpwa taratibu, unaanza kutoka nje ya mada. Shauri yako. Na asipokufikisha wewe kileleni?

hilo rahisi sana,
namtafutia NYUMBA NDOGO!naenda tanga tu hapo.maji ya kuoga yanawekwa hiliki.

mtoto KIWANDA ANAKIWEKA KWENYE KISOSA anaaza kukipiga mswaki kwa colgate ya mlimani city,
hahahahahaha!ai hope nippo inside the perimeter.ai mini nipo ndani ya mada,au sio shem?
 
sasa kama nikiprove kuwa sio mwaminifu?

Not ........ until proven guilty. So ukishaprove then you have every right but remember akikiri na kuahidi kutorudia tena with time trust inatakiwa kurudi sio alikosa miaka sita ilopita akakiri kubadilika but wewe bado tu umelikumbatia kosa lile na references unafanya kila mnapohitilafiana!

On serious note: Hivi kama mwenzi wako alishawahi kucheat unaweza kumtrust tena kweli? .........mh nje ya mada

Sumu ya ndoa kutokubali makosa/udhaifu yako
 

Shem leo uko ndani ya mada kiutamu kweli. Hope sista haingii JF. Akiisoma hiyo posti yako, safari ya kwenda kwa Basil Mramba inaanza. Hahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…