Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Sumu ya ndoa ni kutoa siri zenu nje kwa watu ama kuomba omba ushauri wa matatizo yenu kwa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Kuoa kwa kuchaguliwa/kuunganishiwa na washikaji/rafiki kwa vile ya udhaifu wako wa kuapproach
2. Wazazi wa mume au mke kuwa na sauti ndani ya ndoa.
3. Kipato duni.
4. Kuoa mwanamke ambaye hobby haziendani unacheza golf yeye yuko bar.
Mpwa hiyo red ni kwa watu wa mujini. Kule kwetu mndeni hiyo wala haiangaliwagi. Aftaroo mama ndo mtafutaji mkuu wakati mdingi akienda kupiga busa.
Kutoheshimiana mkiwa wenyewe au hata mbele za watu, kutomjali mwenzio, kumsimanga kila kukicha nimekufanyia hili nimekufanyia lile, kumnyima uhuru wa mambo fulani fulani ambayo hayahusiani na kumegwa au kumega nje (kwa mfano Bongo wanaume wengi hawawaruhusu wake zao kuwa na simu za mkono). Kupekuanapekuana kila dakika ili kuhakikisha hamegi au hamegwi kwa mfano kuchunguza simu zote zinazoingia na kutoka au text messages.
...wengine unampa mashine ukimuuliza kama kafika wala hajui! anakwambia tu nilikuwa nasikia baridi tu..!!1Sumu ya ndoa? Ahaaa! Kutofikishana kileleni.
...wengine unampa mashine ukimuuliza kama kafika wala hajui! anakwambia tu nilikuwa nasikia baridi tu..!!1
Sumu ya ndoa ni NDOA YENYEWE!
Quiet!!! sijui ulitaka nini ingawa nilijaribu kusema sumu ya ndoa ni ndo yenyewe.. sababu ni kwamba ndo haiji frrom the sky; ndoa ni zao la mapenzi, na ndoa inatokana na mlolongo wa matukio ya kimapenzi yaliyopanda mbegu ya ndoa... kwa hiyo depending on how you look at it, sumu ya ndoa inaweza kuwa yafuatayo
nk
- pretendence - mtu ana-fake mahusiano kwa sababu tu ya kuachieve kitu
- umaskini - mara nyingi tunafanya maamuzi kutokana na mazingira yaliyomo tu na mara nyingi yanakuwa limited
- mabadiliko ya kitabia
- wivu
- choyo
- ndugu wasiotakia mema
- elimu
- magonjwa
- ushirikina
Sumu ya ndoa mwanaume kuwa bahili na pato lake.
Sumu ya ndoa mwanaume kuwa bahili na pato lake.