sumu ya ndoa ni ...

hivi nikiambiwa I AM SO SORRY LOVE!inatosha kabisa kusahau kwamba kuna njemba umeshaivulia sana chupi huku una pete ya ndoa na mimi kanisani?
 
sumu ya ndoa gubu la wifi (na mkwe)
 
hivi nikiambiwa I AM SO SORRY LOVE!inatosha kabisa kusahau kwamba kuna njemba umeshaivulia sana chupi huku una pete ya ndoa na mimi kanisani?

Shemeji hebu ishia hapo hapo. Sihitaji sorry wala nini! Ni kwaheri ya kuonana tu. Hata kama ameivua chupi mara moja!
 
hahahahahahaha!

SHAMESHA M'MAAOOI!(sio nje ya mada,i hope so)
 
crispin na geoff nyie mshavua chupi mara ngapi? mbona mnataka kusamehewa?
 
Kusema ukweli, Mungu anisamehe, mara nyingi sana. Hata hesabu siikumbuki, lakini kwa hesabu za haraka haraka kwa miaka miwili iliyopita si chini ya mara mia. (Tuko ndani ya mada, I think)
 
hahahaha!before my marriage?SO MANY UNDERPANS(again ni kabla ya ndoa yangu).lakini kwa sasa hapana.
 
Sumu ya ndoa ni kutokumsamehe mwenzako pale anapokosea,na kutumia makosa yaliyopita kama fimbo ya kumchapia mwenzi wako.
 
kweli kabisa!samahani naomba nitoke nje ya mada:vipi mambo msindima?inaonekana bado una kinyongo na ''mzee'',msamehe bure bwana.sasa engagement lini?
 
Sumu ya ndoa ni mwanamke kuwa na kiburi sana esp ndoa za kikatoliki. Anahisi utamtimua na ukimtimua mnagawana mali!
 
Sumu ya ndoa ni kuishi kwa kuhukumiana kwa historiana kuchunguzana kulikopitiliza!
 
Kusema ukweli, Mungu anisamehe, mara nyingi sana. Hata hesabu siikumbuki, lakini kwa hesabu za haraka haraka kwa miaka miwili iliyopita si chini ya mara mia. (Tuko ndani ya mada, I think)
God have mercy!
 
god ..Chrispin natamani wife angekuwa hapa anacheck haya majibu yako kama hutapigwa na mwiko wa ugali usoni wewe!!
 
kweli kabisa!samahani naomba nitoke nje ya mada:vipi mambo msindima?inaonekana bado una kinyongo na ''mzee'',msamehe bure bwana.sasa engagement lini?

Geoff sina kinyongo na jamaa kabisa na nilishamsamehe lakini kama nilivyokuwa nimekueleza rafiki yangu niliamua ku-quit uhusiano,ila hizo tabia zipo kwa watu wengi sana kila siku unakumbushiwa kosa ambalo mlishakaa na mkalimaliza,sasa huoni kuwa hiyo ni SUMU YA NDOA?

Mengine ntaku-PM kukueleza maendeleo.
 
Sumu ya ndoa ni pale utakapoomba kujiexpress (tigo)!
 
Ndoa haina formula. Chochote kile kinawezasababisha kuwa sumu katika ndoa. Hususan "conflict of interest". Mimi nataka iwe hivi na yeye anataka iwe hivi. Matatizo mengi huanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…