sumu ya ndoa ni ...

Hivi kuna kabila linalofurahia mwanaume kuwa bahili na pato lake?Naona wanaume nimewagusa sana hii sehemu...........Mwanaume kuwa bahili haipendezi kwa kweli.

Naunga mkono hoja.
 
Hii ndio siri ya ndoa kwangu
"To be happy with a man, you must understand him a lot and love him a little.
To be happy with a woman, you must love her a lot and not try to understand her at all"
 
Hii ndio siri ya ndoa kwangu

"To be happy with a man, you must understand him a lot and love him a little.

To be happy with a woman, you must love her a lot and not try to understand her at all"

are you HE/or SHE?
 
Mjasiriamali hebu fafanua hapo kwenye red, sijakupata bado!

Ndoa ya kikatoliki ukioa umeoa, hakuna kuachana kwa visababu vya ajabu hata kama umemfumania mkeo labda kifo ama mmoja hawezi shiriki tendo la ndoa na iwe proved scientifically! Upo hapo!
 
mkuu VC naona umepata ulichokuwa unakitaka... wacha mimi nitafute dictionary kabisa...(nje ya mada)
 
Sumu ya ndoa ni uvivu
Sumu ya ndoa ni kutokujitoa kwa mwenzako

Nimepitia sijaona hayo yameandikwa
 
Sumu ya ndoa ni pale utakapoomba kujiexpress (tigo)!

Na sumu ya mapenzi yaweza kuwa kutomuomba mwenzio kujiexpress (tigo) wakati yeye kazoea huo mchezo, lazima aende nnje.
 
Hii ndio siri ya ndoa kwangu

"To be happy with a man, you must understand him a lot and love him a little.

To be happy with a woman, you must love her a lot and not try to understand her at all"

mie mbona sijui hii lugha tafsiri jamani
 
mie mbona sijui hii lugha tafsiri jamani

okay for women- ili kuwa hapy anatakiwa amwelewe sana mumewe na kumpenda kidogo (kichwa huwa kinakua hapa)
for men- ili kuwa hapy na mke lmpende sana ( ndo anachopenda zaidi) ila usijaribu kumchunguza/kumwelewa kiundani kwani utaishia kugombana/kumwacha/kutompenda. anf this is a golden rule yeah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…