Kazi za hovyo sana. Nasikia hata yule aliyemuua Sokoine mwisho wake haukuwa mzuri. Hata alemhitmen wa magufuli ukiacha Makonda yawezekana hawapo haiKazi ya ujasusi bna, sijui kama huwa wanaenjoy life hawa jamaa.
Muda wote wanaishi kimachale, macho juu juu
Na akamkosa 😁😁Huku kwetu Magufuli akatumia ma AK 47 kumuondoa Lissu
Hawajasema ila za mtaan yupo kwa MadibaKwani wamesema yuko wapi?
ninayo teleHiyo polonium matumizi yake mengine ni yapi?Au ni kuua tu?
Unaambiwa baada ya kukutana n'a hao rafiki zake kwenye mgahawa.Aliporudi nyumbani alianza kuumwa tumbo balaa.Ila yeye alijua tayari marafiki zake wamefanya mambo.Alinyonyoka nywele zote.Daa huyu jamaa alikufa kifo kibaya sana hapa maana siku kadhaa tu nywele zote zilipuputika
Sumu hii mbaya sana pia Russians wanatumia sana Novichok
Usiamini marafiki. Jamaa alinyonyoka nywele zote
Yaani Putin akiamua kukutafuta hata uende wapiUnaambiwa baada ya kukutana n'a hao rafiki zake kwenye mgahawa.Aliporudi nyumbani alianza kuumwa tumbo balaa.Ila yeye alijua tayari marafiki zake wamefanya mambo.Alinyonyoka nywele zote.View attachment 3056787
Halafu anatumia watu wako wa karibu ambao hauwezi wazania.Yaani Putin akiamua kukutafuta hata uende wapi
Hapa UK wameuwawa wengi tangu miaka ya 70
Yaani hata wacomunisti hivyo hivyo pia
Hii Polonium hutumiwa katika vifaa vya antistatic na utafiti wa kisayansi. Gramu moja ya polonium hufikia joto la nyuzi joto 500°C kama matokeo ya mionzi ya alpha iliyotolewa. Hii hufanya Polonium kuwa muhimu kama chanzo cha joto kwa vifaa vya kwenye anga (space).Hiyo polonium matumizi yake mengine ni yapi?Au ni kuua tu?
Hii kitu haikopeshiHii Polonium hutumiwa katika vifaa vya antistatic na utafiti wa kisayansi. Gramu moja ya polonium hufikia joto la nyuzi joto 500°C kama matokeo ya mionzi ya alpha iliyotolewa. Hii hufanya Polonium kuwa muhimu kama chanzo cha joto kwa vifaa vya kwenye anga (space).
Unataka kusemajeKwani Kuna nini jaman?? ,