Sumu ya Polonium Ilivyomuua Alexander Litvenko

Sumu ya Polonium Ilivyomuua Alexander Litvenko

Daa huyu jamaa alikufa kifo kibaya sana hapa maana siku kadhaa tu nywele zote zilipuputika
Sumu hii mbaya sana pia Russians wanatumia sana Novichok
Unaambiwa baada ya kukutana n'a hao rafiki zake kwenye mgahawa.Aliporudi nyumbani alianza kuumwa tumbo balaa.Ila yeye alijua tayari marafiki zake wamefanya mambo.Alinyonyoka nywele zote.
1489.jpg
 
Unaambiwa baada ya kukutana n'a hao rafiki zake kwenye mgahawa.Aliporudi nyumbani alianza kuumwa tumbo balaa.Ila yeye alijua tayari marafiki zake wamefanya mambo.Alinyonyoka nywele zote.View attachment 3056787
Yaani Putin akiamua kukutafuta hata uende wapi
Hapa UK wameuwawa wengi tangu miaka ya 70
Yaani hata wacomunisti hivyo hivyo pia
 
Hiyo polonium matumizi yake mengine ni yapi?Au ni kuua tu?
Hii Polonium hutumiwa katika vifaa vya antistatic na utafiti wa kisayansi. Gramu moja ya polonium hufikia joto la nyuzi joto 500°C kama matokeo ya mionzi ya alpha iliyotolewa. Hii hufanya Polonium kuwa muhimu kama chanzo cha joto kwa vifaa vya kwenye anga (space).
 
Hii kitu haikopeshi
 
Back
Top Bottom