Sunday Manara: England inahitaji mtu kama Mwamnyeto kuchukua kombe la dunia

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Mchezaji wa zamani Tanzania akifanya mahojiano na mtangazaji Patrick Nyembera amesema timu ya taifa ya Uingereza ina kikosi kizuri hata kuweza kuchukua kombe la dunia lkn inakosa mchezaji mzuri wa nafasi ya ulinzi.

Manara alienda mbali zaidi na kudai endapo timu hiyo ingepata mchezaji mzuri aina ya Mwamnyeto basi ingekuwa na uwezo mkubwa wa kuchukua kombe la dunia la mwaka 2022.
 
Mwamnyeto?
 
Dah...
England ilikosa kikombe na kina ferdinand na john terry na sol campbell alafu anatokeza mtu mzima hapa tizedi anaongea haya mapicha picha...
Dah
 
mi nimeongea mara nyingi sana kwenye hili jukwaa: mwamyeto ni kwamba ana nyota ya kupendwa tu lakini hatuna beki pale
Dogo beki yule..ila sio pembeni umpange na yule anaecheza nae au majogolo...we unadhani messi akija ligi ya bongo atakua messi yule!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…