Supakasi ni internet isiyo na kikomo na iliyosambaa zaidi, Vifurushi 115K wengi hatuviwezi. Nashauri kuwe na vifurushi vya elfu 60 ikipendeza elfu 50

Voda na Smile ni kampuni za utoa internet zilizolenga makampuni na taasisi kubwa kubwa zenye kuhitaji internet ya uhakika na yenye speed so uwekezaji mkubwa wamelenga huko hata vifaa vyao baadhi vya ku supply internet vina uwezo wa kuconnect zaidi ya watu 2400 kwa mara moja sio zile modems za 70k tulizozoea na ofa juu ya GBs unapewa za kufurahia modemu yako.. Sisi watumiaji wa kawaida kama huna ofisi angalau ya kumudu vifurushi vyao hivi vya zaidi ya 115K+ kwa mwezi wakati mwingine ndo kama faida hiyo kwenye ofisi yako kwa mwezi, kamwe huwezani nao labda ukomae na fibre za TTCL na wengineo au vifurushi vya postpaid vya tiGo... Kama hii tu Supakasi inatushinda sasa ile ya mzungu yule bilionea tutaiweza? Cha msingi kuruka visiki kulingana na hatua za miguu yako, ukilazimisha unachanika msamba....
 
Waweke na cha 30k {Unlimited} download speed iwe 200kb....
si tutavumilia tuu
Kama upo eneo husika weka ttcl 25k unapata 4mbps (500KB/s)

Otherwise voda ya 50,000 pia ni unlimited ukimaliza gb zako kuna mdau humu amepost speed ni 800kbps/1mbps, sio mbaya kama huna kabisa, uzuri wa hii ni line ya kawaida unaenda nayo popote.
 
Hivi Vodacom post paid Yao Ina utaratibu gani na shilingi ngapi, kila nikiwasiliana nao wananiambia watanitafuta baada ya masaa 24, siwaelewi kabisa na nilipo 3G ipo ya Voda tu mitandao mingine inasoma E
 
Sijasikia mkuu na sidhani kama ni competitive.

Ila kasi internet ipo vifurushi vya kawaida.

Sina information za maana kuhusu hii kasi, nilitest cha 3000 GB 1.4 hakikuwa unlimited, wadau humu wametest cha 50,000 ni unlimited, sijajua vingine sasa vya 30,000 ama 10,000 kama vina unlimited. Nikipata hela isio na kazi naweza test chengine.
 
Thanks Kwa taarifa
 
Hawa Voda hawako serious pengine watajikuta wamefanya makosa pale ambapo mtu mwingine akaja kufanya uwekezaji ambao utamfanya Voda apolwe wateja

Nasikilizia hiyo project ya Elon Musk nione mageuzi yatakavyokuwa
Hakuna wa kumfikia Voda kwa sasa.

Uwekezaji alioufanya sio mdogo.

TTCL ndo alitakiwa awe mshindani wa Vodacom ila nae anasuasua.

Mpaka sasa Internet ya Voda haina mpinzani hata kama mtu hajavuta fiber.

Na sasa anazitandaza kama hana akili nzuri.
 
Acha tusubiri vidish ya star link satelite ya ellon musk kidogo atakuja kutoa upinzani kwa hawa mbwa
Waje watukomboe kwa kweli,. hawa SimbaNet bei zao juu pia nasikia bado wapo mjini
 
Hakuna wa kumfikia Voda kwa sasa.

Uwekezaji alioufanya sio mdogo.

TTCL ndo alitakiwa awe mshindani wa Vodacom ila nae anasuasua.

Mpaka sasa Internet ya Voda haina mpinzani hata kama mtu hajavuta fiber.

Na sasa anazitandaza kama hana akili nzuri.
hata reliability mkuu, mimi miaka kadhaa iliopita nilikuwa nacheza games sana online, zuku wana ping ndogo in theory wanatakiwa wakupe speed nzuri ila inakata kata kila dakika kadhaa kunakuwa na stutter, voda ping kubwa kidogo server za marekani inaenda 150ms hadi 200ms ila ipo stable, sometime unasahau kabisa kama upo online. nafkiri hii inachangiwa na kwamba hiii ni kampuni kubwa ipo south, Uingereza na nchi kibao so routing yao ni nzuri zaidi.
 
Waje watukomboe kwa kweli,. hawa SimbaNet bei zao juu pia nasikia bado wapo mjini
simbanet wanadeal na Enterprise na wanatoa intranet kuconect maofisi yako yote, huduma yao ni tofauti kabisa na kina voda.
 
simbanet wanadeal na Enterprise na wanatoa intranet kuconect maofisi yako yote, huduma yao ni tofauti kabisa na kina voda.
Bado Mkombozi hajapatikana.,, vipi zuku nimesikia nao wanatoa huduma ya internet
 
Hivi kwa nini zamani ilikuwa unaweza kudownload file mtandaoni huku speed inasoma Edge lakini sasa hivi hata ikiwa H tu bila + unakuta file hata la 20kb halidownlodiki. Unaweza fafanua kidogo nini imekuwaje kuwaje??

Na hivi kuna mtandao hapa TZ unaotoa bado zile package za Blackberry zenye BB OS?
 
kwenye 3g mkuu kuna wcdma, hspa na hspa plus, hii wcdma ni 3g ya mwanzo kabisa yenyewe haina speed na hutumika tu kama standby, speed yake na Edge haitofautiani sana, hspa na hspa+ ndio zina speed zinaenda hadi 42mbps, so inategemea na simu kama inakupeleka kwenye hio Wcdma lazima ile kwako. ni simu ya Android?
 
Bado Mkombozi hajapatikana.,, vipi zuku nimesikia nao wanatoa huduma ya internet
zuku ndo hao wanatoa internet mjini.

mkombozi ni TTCL mkuu, kama kwenu zimepita zile waya za copper na huna kazi kashinde ofisini kwao wasumbue hadi waje wakuekee, hio 25k unapata 4mbps ndio kimbilio kwa wanyonge kwa sasa.

kama mfuko upo vizuri 5G voda, 30mbps kwa 120k sio mbaya.
 
Wanasema
Bado Mkombozi hajapatikana.,, vipi zuku nimesikia nao wanatoa huduma ya internet
Wanasema Okay, ahsante kwa somo. Simu Ni android mkuu.

Pia hapa kwa waya za copper ndio zile za kuzika chini au zile ambazo zipo kwenye nguzo za tanesco, waliwekaga waya mmoja wa ziada kwenye nguzo zao, au kopa ni zile za kwenye nguzo za TTCL zile za miaka ya nyuma?
 
Ya Tanesco na zile waya za zamani ndio copper.

Kama simu ni ya Android bonyeza

Code:
 *#*#4636#*#*

Then phone information then utaweza kuchagua exactly technology unayotaka kama ni edge, wcdma, hspa etc. Sometime UMTS inaweza tumika badala ya Hspa
 
Hakuna wa kumfikia Voda kwa sasa.

Uwekezaji alioufanya sio mdogo.

TTCL ndo alitakiwa awe mshindani wa Vodacom ila nae anasuasua.

Mpaka sasa Internet ya Voda haina mpinzani hata kama mtu hajavuta fiber.

Na sasa anazitandaza kama hana akili nzuri.
Sawa pamoja na ubora wao ila waangalie namna ya kupunguza gharama kwa watumiaji wakawaida

Kama itahitajika kupunguza speed napo fresh tu ila kibunda nacho kipungue walau 70K
 
Kama upo eneo husika weka ttcl 25k unapata 4mbps (500KB/s)

Otherwise voda ya 50,000 pia ni unlimited ukimaliza gb zako kuna mdau humu amepost speed ni 800kbps/1mbps, sio mbaya kama huna kabisa, uzuri wa hii ni line ya kawaida unaenda nayo popote.
Unapataje hii boss?
 
Unapataje hicho cha tsh 50k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…