iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Voda na Smile ni kampuni za utoa internet zilizolenga makampuni na taasisi kubwa kubwa zenye kuhitaji internet ya uhakika na yenye speed so uwekezaji mkubwa wamelenga huko hata vifaa vyao baadhi vya ku supply internet vina uwezo wa kuconnect zaidi ya watu 2400 kwa mara moja sio zile modems za 70k tulizozoea na ofa juu ya GBs unapewa za kufurahia modemu yako.. Sisi watumiaji wa kawaida kama huna ofisi angalau ya kumudu vifurushi vyao hivi vya zaidi ya 115K+ kwa mwezi wakati mwingine ndo kama faida hiyo kwenye ofisi yako kwa mwezi, kamwe huwezani nao labda ukomae na fibre za TTCL na wengineo au vifurushi vya postpaid vya tiGo... Kama hii tu Supakasi inatushinda sasa ile ya mzungu yule bilionea tutaiweza? Cha msingi kuruka visiki kulingana na hatua za miguu yako, ukilazimisha unachanika msamba....