Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Saidoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gaucho kwangu kwa wachezaji niliowashuhudia ukiacha upuuzi wenu wa statistics, atabaki namba moja akifuatiwa na Zinedine zidane na de Lima pale na3
Hapo Ronaldinho hana mpinzani!! Ukiona clips zake you tube huwezi kuamini dunia iliwahi kuwa na mtu anayejua kuutawala mpira na kuuamuru anavyoptaka!! Mabeki alikuwa anawageuza atakavyo!! Ronaldinho ni habari nyingine kabisa!!
Tuko pamoja mkuuKwangu Gaucho ndio namba moja De Lima namba 2 walio zaliwa 95 hawawezi elewa kirahisi.. Bado sijaona mchezaji anaefanya mambo gaucho uwanjani bado hana mpinzani
Nipo nawe ila upande wa pili kuna JJ Okocha, hapo uamuzi unakua mgumu sana kwangu ,ila hawa wawili kwangu wangepewa hii zawadi
Zinedine ZidaneHii ni tuzo ambayo hutolewa mara moja kwa miaka 30,ambapo hadi sasa aliwahi kuishinda ni Alfredo Di Stephano Pekee yake mnamo mwaka 1989.
Kuna kinyang'anyiro cha mkumpata Mshindi Mpya kwa muda wa miaka 30 iliyo pita tokea Mwaka 1990 hadi Sasa ambapo kuna Orodha ya Wachezaji Walio Staafu na wakiwemo Cr7 na Messi kwenye Kinyang'anyiro cha kumpata Mshindi, swali ni je, nani kuibuka Mshindi katiya;
Lionel Messi
Cristiano Ronaldo
Ronaldo Nazario
Zinedine Zidane
Andriy Shevchenko
Roberto Baggio & Lothar Matthäus
Hristo Stoichkov
Robert Lewandowski
Ronaldinho
Rivaldo
Kaka
Luis Figo & Luka Modric
Thierry Henry
Andres Iniesta & Matthias Sammer
Karim Benzema & Michael Owen
Pavel Nedved
Marco van Basten, Jean-Pierre Papin , George Weah , Fabio Cannavaro & Xavi Hernandez
Dennis Bergkamp
Neymar
Raul
Paolo Maldini.
Jurgen Klinsmann, David Beckham & Gianluigi Buffon.
Roberto Carlos
Sadio Mane
Davor Suker & Dejan Savićevic
Darko Pančev, Salvatore Schillaci, Zlatan Ibrahimovic, Deco, Predrag Mijatović, Oliver Kahn, Frank Lampard , Antoine Griezmann & Virgil van Dijk
Didier Drogba & Kylian Mbappe
Steven Gerrard, Kevin De Bruyne & Mo Salah
Iker Casillas, Andrea Pirlo & Samuel Eto’o
Luis Suarez, Jari Litmanen , Eric Cantona, Alessandro Del Piero & Gabriel Batistuta
Maoni yenu na Uchambuzi wana Soka...
Ingekuwa hvyo huyo jamaa angekuwa na Balon d'Or hata tatu , kukata mauno uwanjani hakukufanyi kuwa legend , Ronaldinho maisha yake ya soka la ushindani ni mafupi Sana ...Huwa mwamba alikuwa anakusanya na hakuna anae shika mpira na akitika hapo uko nyavuni
Pele,Maradona,Garincha,Kempes,Zagalo n.k hawamo sababu wao halihusika katika kinyang'anyiro cha Kwanza ambacho alipatikana Di Stephano Mwaka 1989,maana tuzo hii hutolowa mara moja kila baada ya miaka 30,kwahio hesabu ya kumpata mshindi kinyang'anyiro cha pili kilianza kuangaliwa kuanzia mwaka 1990 hadi sasa.Kwanini Pele hayupo?
Gaucho kwangu kwa wachezaji niliowashuhudia ukiacha upuuzi wenu wa statistics, atabaki namba moja akifuatiwa na Zinedine zidane na de Lima pale na3
Hakuwahi kuchukua world cup maana kuna kidude kimebahatika juzi kupata world cup watu wanatamani wakipe uungu kabisa.Vitoto ni visumbufu na ving'ang'anizi sana.Ingekuwa hvyo huyo jamaa angekuwa na Balon d'Or hata tatu , kukata mauno uwanjani hakukufanyi kuwa legend , Ronaldinho maisha yake ya soka la ushindani ni mafupi Sana ...