Super Ballon d'Or

Super Ballon d'Or

Gaucho kwangu kwa wachezaji niliowashuhudia ukiacha upuuzi wenu wa statistics, atabaki namba moja akifuatiwa na Zinedine zidane na de Lima pale na3

Kwangu Gaucho ndio namba moja De Lima namba 2 walio zaliwa 95 hawawezi elewa kirahisi.. Bado sijaona mchezaji anaefanya mambo gaucho uwanjani bado hana mpinzani
 
Hapo Ronaldinho hana mpinzani!! Ukiona clips zake you tube huwezi kuamini dunia iliwahi kuwa na mtu anayejua kuutawala mpira na kuuamuru anavyoptaka!! Mabeki alikuwa anawageuza atakavyo!! Ronaldinho ni habari nyingine kabisa!!

Huwa mwamba alikuwa anakusanya na hakuna anae shika mpira na akitika hapo uko nyavuni
 
Leonel Andres Messi "Cuccittini".

Anaemfuatia ni Cristiano Ronaldo Dos Santos Riveira. Hao ndio viumbe pekee walioweza kulitawala soka kwa zaidi ya miaka kumi, wakiwa katika kiwango cha juu kabisa.

NB: Ronaldinho Gaucho alitumwa na Mungu, kuja kutuonyesha wanadamu namna mpira unatakiwa kuchezwa. Usimlinganishe, leave him alone!
 
Hii ni tuzo ambayo hutolewa mara moja kwa miaka 30,ambapo hadi sasa aliwahi kuishinda ni Alfredo Di Stephano Pekee yake mnamo mwaka 1989.

Kuna kinyang'anyiro cha mkumpata Mshindi Mpya kwa muda wa miaka 30 iliyo pita tokea Mwaka 1990 hadi Sasa ambapo kuna Orodha ya Wachezaji Walio Staafu na wakiwemo Cr7 na Messi kwenye Kinyang'anyiro cha kumpata Mshindi, swali ni je, nani kuibuka Mshindi katiya;

Lionel Messi

Cristiano Ronaldo

Ronaldo Nazario

Zinedine Zidane

Andriy Shevchenko

Roberto Baggio & Lothar Matthäus

Hristo Stoichkov

Robert Lewandowski

Ronaldinho

Rivaldo

Kaka

Luis Figo & Luka Modric

Thierry Henry

Andres Iniesta & Matthias Sammer

Karim Benzema & Michael Owen

Pavel Nedved

Marco van Basten, Jean-Pierre Papin , George Weah , Fabio Cannavaro & Xavi Hernandez

Dennis Bergkamp

Neymar

Raul

Paolo Maldini.

Jurgen Klinsmann, David Beckham & Gianluigi Buffon.

Roberto Carlos

Sadio Mane

Davor Suker & Dejan Savićevic

Darko Pančev, Salvatore Schillaci, Zlatan Ibrahimovic, Deco, Predrag Mijatović, Oliver Kahn, Frank Lampard , Antoine Griezmann & Virgil van Dijk

Didier Drogba & Kylian Mbappe

Steven Gerrard, Kevin De Bruyne & Mo Salah

Iker Casillas, Andrea Pirlo & Samuel Eto’o

Luis Suarez, Jari Litmanen , Eric Cantona, Alessandro Del Piero & Gabriel Batistuta

Maoni yenu na Uchambuzi wana Soka...
Zinedine Zidane
 
Huwa mwamba alikuwa anakusanya na hakuna anae shika mpira na akitika hapo uko nyavuni
Ingekuwa hvyo huyo jamaa angekuwa na Balon d'Or hata tatu , kukata mauno uwanjani hakukufanyi kuwa legend , Ronaldinho maisha yake ya soka la ushindani ni mafupi Sana ...
 
Kwanini Pele hayupo?
Pele,Maradona,Garincha,Kempes,Zagalo n.k hawamo sababu wao halihusika katika kinyang'anyiro cha Kwanza ambacho alipatikana Di Stephano Mwaka 1989,maana tuzo hii hutolowa mara moja kila baada ya miaka 30,kwahio hesabu ya kumpata mshindi kinyang'anyiro cha pili kilianza kuangaliwa kuanzia mwaka 1990 hadi sasa.
 
Huyo Messi na CR7 wamewekwa tu kunogesha tuzo hii inaenda kati ya hao wastaafu.
povu ruksa.
 
Ingekuwa hvyo huyo jamaa angekuwa na Balon d'Or hata tatu , kukata mauno uwanjani hakukufanyi kuwa legend , Ronaldinho maisha yake ya soka la ushindani ni mafupi Sana ...
Hakuwahi kuchukua world cup maana kuna kidude kimebahatika juzi kupata world cup watu wanatamani wakipe uungu kabisa.Vitoto ni visumbufu na ving'ang'anizi sana.
 
Back
Top Bottom