Super bridge, size of a 21 storey tower to be built in Mombasa-Likoni

Super bridge, size of a 21 storey tower to be built in Mombasa-Likoni

Hahaha showstopper of the single lane pillar bridge? Only around Kenyan bushes

What could we say about 7 kilometers Salenda bridge which will start to be built in early next month.

uganga.jpeg
Limeisha tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1363657390.jpg
 
The Likoni bridge is 70 metres tall in the sky, remember,cable cars will also be cruising above the bridge at a height of 100 metres. The taller the tower, the sweeter the view!

Hio salender and Kigamboni ni daraja za kutupwa!
Liko wapi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1955413592.jpg
 
Waafrika tunapenda sifa za kijinga sana, ndo maana tutachelewa saaana kufika.

Hivi lingejengwa daraja la kawaida tu, linafunguka meli inapotaka kupita halafu 2/3 ya hiyo hela tukawekeza kwa vijana wakulima tuwape ardhi, trekta na kuwawekea miundombinu ya umwagiliaji then ingekuwaje?

Sasa wananchi tunashabikia mambo ya kijinga wakati wanasiasa wanaendelea kula raha zao

Pathetic kweli
 
wewe umeona wapi daraja la namna hiyo Mombasa? pale kuna pedestrian bridge gari haikatizi na kwa gharama ya daraja la kupitisha magari!
 
Back
Top Bottom