son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Super coach Abdallah Mubiru ana leseni ya uefa pro licence na caf daraja A..Alipokuwa anafundisha polisi Uganda alisifika kwa timu yake kucheza kandanda safi la pasi nyingi na soka la kuvutia.
Timu ya polisi haipendwi nchini Uganda lakini mashabiki walikuwa wanaingia kwa wingi pindi polisi Uganda ikicheza sababu ya kandanda safi walilokuwa wanacheza
Mwaka 2020 Abdallah Mubiru alitangazwa kuwa kocha wa muda wa Uganda the cranes baada ya kocha mzungu kufukuzwa kwenye mechi 7 alishinda 4 alitoka sare michezo 3.
Msimu huu Abdallah Mubiru amesaini kuitumikia mbeya city hakika mbeya city imebadilika mno,mbeya city msimu huu wanapiga pass kutokea nyuma hakuna butua butua na nguvu nyingi na kutegemea winga na krosi kama msimu ulioisha.
Mbeya city wanatengeneza mashambulizi kutokea nyuma Wana controll game na eneo la kiungo wanalimiliki kama mshabiki unafurahi kutizama pindi wanapocheza. Mabadiliko ni makubwa saizi Wana mbeya wakiangalia timu Yao hawapati presha ya kushambuliwa sana na mipira mirefu muda wote
Nchini Uganda wanamuita Mr tiki taka au tabliq