Super Coach Abdallah Mubiru kaibadilisha mno Mbeya city

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
541
Reaction score
1,449
Super coach Abdallah Mubiru ana leseni ya uefa pro licence na caf daraja A..Alipokuwa anafundisha polisi Uganda alisifika kwa timu yake kucheza kandanda safi la pasi nyingi na soka la kuvutia.

Timu ya polisi haipendwi nchini Uganda lakini mashabiki walikuwa wanaingia kwa wingi pindi polisi Uganda ikicheza sababu ya kandanda safi walilokuwa wanacheza

Mwaka 2020 Abdallah Mubiru alitangazwa kuwa kocha wa muda wa Uganda the cranes baada ya kocha mzungu kufukuzwa kwenye mechi 7 alishinda 4 alitoka sare michezo 3.

Msimu huu Abdallah Mubiru amesaini kuitumikia mbeya city hakika mbeya city imebadilika mno,mbeya city msimu huu wanapiga pass kutokea nyuma hakuna butua butua na nguvu nyingi na kutegemea winga na krosi kama msimu ulioisha.

Mbeya city wanatengeneza mashambulizi kutokea nyuma Wana controll game na eneo la kiungo wanalimiliki kama mshabiki unafurahi kutizama pindi wanapocheza. Mabadiliko ni makubwa saizi Wana mbeya wakiangalia timu Yao hawapati presha ya kushambuliwa sana na mipira mirefu muda wote

Nchini Uganda wanamuita Mr tiki taka au tabliq

1667852641126.jpg
 
Tulishakubaliana bongo hakuna zaidi ya pepe gudiola kibonge hata u supa kochi ni wake
255627534917_status_5423109cb6374be4a8f2518a22bc45ac.jpg
 
Anajua sana ,Mbeya City unacheza soka la kuvizia sasa.
 
Super coach Abdallah Mubiru ana leseni ya uefa pro licence na caf daraja A..Alipokuwa anafundisha polisi Uganda alisifika kwa timu yake kucheza kandanda safi la pasi nyingi na soka la kuvutia.

Timu ya polisi haipendwi nchini Uganda lakini mashabiki walikuwa wanaingia kwa wingi pindi polisi Uganda ikicheza sababu ya kandanda safi walilokuwa wanacheza

Mwaka 2020 Abdallah Mubiru alitangazwa kuwa kocha wa muda wa Uganda the cranes baada ya kocha mzungu kufukuzwa kwenye mechi 7 alishinda 4 alitoka sare michezo 3.

Msimu huu Abdallah Mubiru amesaini kuitumikia mbeya city hakika mbeya city imebadilika mno,mbeya city msimu huu wanapiga pass kutokea nyuma hakuna butua butua na nguvu nyingi na kutegemea winga na krosi kama msimu ulioisha.

Mbeya city wanatengeneza mashambulizi kutokea nyuma Wana controll game na eneo la kiungo wanalimiliki kama mshabiki unafurahi kutizama pindi wanapocheza. Mabadiliko ni makubwa saizi Wana mbeya wakiangalia timu Yao hawapati presha ya kushambuliwa sana na mipira mirefu muda wote

Nchini Uganda wanamuita Mr tiki taka au tabliq

View attachment 2410858
Lkn bado timu hii inafanya makosa mengi sana ya kiulinzi. Pia, wanafikika kirahisi sana langoni kwao
 
Tusubiri kwanza akikutana na yanga
 
Back
Top Bottom