inaonekana kocha wao ndio anaowahimiza kucheza rafu,japo watu wengi husema kuwa barca ni watu wa kujidondosha ila wanapokutana na madrid wanaipata hasa kwa mtu kama pepe,na maselo,yaani bora mpira ubaki mtu aende!na kama pepe atakuja kuua mtu uwanjani!na wanapopewa kadi kocha wao anakasilika sana kuwa wanaonewa!na ndio maana inawawia ngumu sana kuwa funga barca kwani wanapania sana mechi!kama umeangalia mechi ya jana ya 2-2.madrid alistahili kushinda kabisa lakini wapi!ngoja hiyo jumatano ktk ktk mechi ya marudio.