Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fabregas anaingia na kuchukua kikombe, wakati alipokuwa Arsenal amekaa miaka 8 sidhani kama amechukua kombe lolote, Wenger lazima ajue watu wanahamu ya kuchukua vikombe na sio blabla.
Mourinho kamfinya jamaa sikio?
Sijawahi kumuona Fabregas akiwa na furaha kama leo.
Viper, Mourinho kaona isiwe shida kamuaa kumfinya jamaa sikio lol... Ila Madrid are getting closer a year ago walifungwa 5-0, watafute dawa ya kumzuia Messi sasa.
Sipati picha! Huku SUNZU...., kule MESSI.....,raha kwelikweli!
Pole ndugu, soka ndivyo ilivyo, sometimes you lough sometime you cry!Kwenda kule.,kwa kweli jana ilikuwa moja ya siku yangu mbaya kimchezo..RMD wanatoa angaliza kwa Barca karibia enzi zitakwisha..
Hawezi kurudi Barca, kwani licha ya kuwa msaidizi wa van Gaal kwa miaka 4, lakini mashabiki bado walikuwa wanamkejeri kama mkarimanimourinho kitu gani bwana?eshaisha yule laa arudi barca tu