Super Cup: Madrid vs Barcelona

Super Cup: Madrid vs Barcelona

Aaaaah! Wametuharibia raha kwa fuji zao!
 
  • c7.png
    90+3'Ozil has lost it completely! Another red card has been brandished. Not sure who to...utter chaos. Horrific challenge by Marcelo on Fabregas. Two-footed lunge. Mourinho has pushed somebody in the face. What a finish to this one.
  • c7.png
    90+3'A red card for Marcelo! A straight red, and there is a lot of pushing and shoving now. Chaos out there. Both sets of players involved. Utter mayhem on the touchline.
  • c13.png
    90+1'Four minutes to be added, and we have played almost two of them. Barca on the verge here. Valdes is booked for a spot of time-wasting.
 
kweli mkuu RMD wakifungwa wanakuwa na fujo pamoja na Morinho wao. Morinho uwepo wake Hispania una haribu mpira wa Hispania na ligi yake yeye anafikiri tuko England ambako kila mpira lazima utumie ugali. wakafie mbali huko na mifujo yao. Mungu ibariki Barcelona, Mungu ibariki Simba waanze ligi vema.
 
Nafikiri kuumia kwa Calvalho kumechangia angeweza kumblock Adriano asitoe pasi kwa messi
 
Fabregas anaingia na kuchukua kikombe, wakati alipokuwa Arsenal amekaa miaka 8 sidhani kama amechukua kombe lolote, Wenger lazima ajue watu wanahamu ya kuchukua vikombe na sio blabla.
 
Fabregas anaingia na kuchukua kikombe, wakati alipokuwa Arsenal amekaa miaka 8 sidhani kama amechukua kombe lolote, Wenger lazima ajue watu wanahamu ya kuchukua vikombe na sio blabla.

hajakaa miaka 8 alifau alichukuwa FA ....
 
Sijawahi kumuona Fabregas akiwa na furaha kama leo.

Viper, Mourinho kaona isiwe shida kamuaa kumfinya jamaa sikio lol... Ila Madrid are getting closer a year ago walifungwa 5-0, watafute dawa ya kumzuia Messi sasa.
 
Si walisema Pepe ndiye anti Mess!

Ni kweli they are getting closer, ila mechi hizi mbili pia zimeipa Barca cha kujifunza, na Jose pia kawapatia marefa kwa kulalamika kwake naye kazidisha rafu nadhani anajua watamgwaya tu.
 
mourinho kitu gani bwana?eshaisha yule laa arudi barca tu
 
Kwenda kule.,kwa kweli jana ilikuwa moja ya siku yangu mbaya kimchezo..RMD wanatoa angaliza kwa Barca karibia enzi zitakwisha..
Pole ndugu, soka ndivyo ilivyo, sometimes you lough sometime you cry!
 
mourinho kitu gani bwana?eshaisha yule laa arudi barca tu
Hawezi kurudi Barca, kwani licha ya kuwa msaidizi wa van Gaal kwa miaka 4, lakini mashabiki bado walikuwa wanamkejeri kama mkarimani
 
Back
Top Bottom