XAVI sio mtu wa tackle hiyo ni kazi ya Busquet,ila naona Mourinho ameanza kuapata dawa ya BarcaHii nechi Barca watapata tabu hata kama watashinda Xavi ana kadi ya njano that means he can't commit kwenye tackles
Messi ana statistics nzuri dhidi ya MadridMessi anaandikia Barca bao la 2 dakika ya 44 ya kipindi cha kwanza.
Madrid walishindwa kutumia first leg ambayo waliwakamata Barca wakakosa magoli,na ukichukulia Xavi,Pique na Busquet walikuwa majeruhiYani kama wewe ni mshabiki wa Yanga na Real Madrid usiku wa leo unaweza kuwa sio mzuri kabisa kwako.
Slowly Mourinho anaanza kuwajulia Barca, ila kikosi cha Barca ni cha kazi leo.
Mourinho anatumia mfumo ambao Paraguay(WC 2010 quarter final) waliutumia: Pressing Spain(7 Barca players) in their own first third so eventually will succumb to long kick hence sacrificing the possession. Biskuti hasogei mbele sana so Iniesta na Xavi itabidi wawe wanatackle, biskuti anacheza kama quarter backXAVI sio mtu wa tackle hiyo ni kazi ya Busquet,ila naona Mourinho ameanza kuapata dawa ya Barca