Dogo kasign tu juzi leo anabeba Kombe!Naona Fabregas ana warm up
Hahaha sasa si ndicho alichokuwa anataka lol...!!Dogo kasign tu juzi leo anabeba Kombe!
Lakini bora kaondoka!Hahaha sasa si ndicho alichokuwa anataka lol...!!
Sijui wachezaji aliowaacha Arsenal watajisikiaje.
Basi tena!R. Madrid wamekwisha.<br />
Kwa bao la Messi ushindi kwa Barca!
Naona Marcelo kamkaribisha Fabregas kwenye Elclassico!Naona red card kwa Marcelo.