Super El nino 2026/2027.. El nino ya kihistoria

Hakuna mazao yanayo stahimili el nino? Mfano mpunga?

Mbona kama naanza kukata tamaa maana mwaka jana nimepanda hekali mbili za migomba na ndio kwanza imeanza kubeba!!!

Kuna mdau kachangia kwamba migomba itaoza!!!

Shamba langu lipo mbali na nyumbani, hapo sijalimia watu kweli??
 
Nina hakika mdogo wangu familia hazikutamani kusafiri kwa sababu njia nyingi zilikatika, mawasiliano hayakuwepo na mbaya zaidi barabarani kulikuwa na maiti nyingi zilizosombwa na maji.
 
Ni kumuomba Mungu tu sasa
 
Ile 98 nilishuhudia kabisa ingawa niliona kawaida , ila ile njaa siku ihisi labda mazingira ya kule Kilimanjaro yalichangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…