Super El nino 2026/2027.. El nino ya kihistoria

Una shuhuda nyingi ndugu yangu!
 
Ina weza kuwa kinyume chake.

Hivi wastani ni muda gani itachukua , ni wezi wiki ama mwaka!
Itaanza around October kwa makisio na itaenda mpaka 2027.. Hapo katikati itakuwa kali.. Pengine ni gharika ya kuisafisha Tanganyika wanuka damu zisizo na hatia wote! Pengine wazinzi na wazee wa sefuli wanaweza kusalamika🤣
 
Hofu yangu watoto na shule tu sisi watu wazima tutajua how to handle
 
Duh nakumbuka el nino ya 1997 arusha ilikua ni kwere bwashee
Ajabu ni kuwa mvua hizo za El nino za 1997 zilitushtukiza, maana watabiri wetu wa hali ya hewa Bongo walikuwa wameishatuambia tulime mazao yanayostahimili ukame, maana mpaka mwezi wa 11 katikati halijadondoka hata tone nchi nzima na mvua za El nino zikaanza mwezi wa 11 mwishoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…