Scale
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 2,116
- 2,616
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, nilitaka kushare picha za tikiti za mentor wangu, nikaghairi. Hiyo kitu haikatai zao. Hata kama una muembe, ukipamba tu maua spray super grow, haute amini matokeo yake!
Asante, nilitaka kushare picha za tikiti za mentor wangu, nikaghairi. Hiyo kitu haikatai zao. Hata kama una muembe, ukipamba tu maua spray super grow, haute amini matokeo yake!
Hii hapo.ni supergro au supergrow? je inatumikaje kwa mahindi, papai,mpunga nk. Malekezo ya jinsi ya kutumika ni muhimu sana
Na Madhara yake pia umesahauWakuu Habari,mwenye Ufahamu Wa Matumizi Na Faida Za Super Gro Kwenye Nyanya Anijuze.Nasikia Ina Umuhimu Sana.
hilo ndyo tatizo kutumia picha za google badala ya uhalisia
Hii superglo ina nini tukizungumzia hasa uwiano wa nitrogen, phosphorus, potassium pamoja na viambata vingine?Ratio ya kuchanganya ni 1cc kwa 1L ya maji. Nilifundishwa kuloweka mbegu na super gro for 48 hrs kabla ya kupanda (si lazima ingawa mmea unatoka tayari una afya nzuri) then napulizia kwa interval ya wiki 3 hadi 4. Utaacha kupulizia unions mmea umechanua. Kama ni matunda unapulizia maua yakipamba,( but sijajaribu kwa matunda ila mentor wangu aliniambia hivyo na nikaona picha za waliofanikiwa)
Hii bidhaa inaaminika sana na watu ila ina virutubisho gani hilo halijawekwa kwenye label yake badala yake maelezo yake ni kuwa inatumika kama wetting agent au sticker kwa maana ya kuwa inasaidia madawa na mbolea nyingine za maji kufanya kazi vizuri kwa kuitawanya katika majani. Lakini pia inatumika kama penetrant katika udongo. Ila shida inauzwa bei kubwa mno kama wakati kuna mbadala ya wetting agent za bei rahisi.ni supergro au supergrow? je inatumikaje kwa mahindi, papai,mpunga nk. Malekezo ya jinsi ya kutumika ni muhimu sana
Tumia lakini akilini usifikirie kama umeweka mbolea kwa sababu si mbolea mkuu.inapendza ulete picha zako halisi ndgu ili tujilidhishe mfano mm nalima maharage na karangaa , inanifaa?
Uko sahihi, ila nilivyotumia kwenye mboga za majani, sikufanikiwa kupiga picha za before and after, sikutumia mbolea yoyote, na mboga hazikuwa na kijani kizuri, aisee nilivyo tumia supergro, baada ya wiki 1, nikiona mabadiliko makubwa, kama inavyo onekana pichani. So binafsi, siamini kama iko overrated, naona ndo uhalisia wake! Ila ingredients ndo chsngamoto kwa kweliHii bidhaa inaaminika sana na watu ila ina virutubisho gani hilo halijawekwa kwenye label yake badala yake maelezo yake ni kuwa inatumika kama wetting agent au sticker kwa maana ya kuwa inasaidia madawa na mbolea nyingine za maji kufanya kazi vizuri kwa kuitawanya katika majani. Lakini pia inatumika kama penetrant katika udongo. Ila shida inauzwa bei kubwa mno kama wakati kuna mbadala ya wetting agent za bei rahisi.
Hivyo hii si mbolea, haina kirutubisho chochote katika mmea ukilinganisha na hio super grow na mbolea nyingine za maji. Wanaodai kuwa inafaa hawatumii hio pekee bali wanaweka na mbolea za kawaida vinginevyo hali ya rutuba ya shamba ni nzuri.
Tukiacha hayo, hii bidhaa imekuzwa sana kwa marketing strategy nzuri kutoka kwa GNLD ambao ndio wanaoitengeneza. Kuna tofauti ndogo sana kati ya GNLD na network marketing nyingine.
Picha za kabla na baada ingekuwa vizuri maana si rahisi hayo unayosema kutokea. Ukijani wa mmea utakuja endapo mmea utapata lishe inayotosheleza hasa nitrogen, potassium na micronutrients kwa kiasi kidogo. Kiambato amilifu cha superglo ni ethoxylated alkylphenol ambayo inafanya kazi kama surfactant. Hata label yake inaonyesha kwamba inatumika kama wetting agent na soil penetrant na si vinginevyo. Kinachoipa umaarufu ni kwamba wanai-market kama organic fertilizer, huenda wanajua kuwa si rahisi watu kusoma label.Uko sahihi, ila nilivyotumia kwenye mboga za majani, sikufanikiwa kupiga picha za before and after, sikutumia mbolea yoyote, na mboga hazikuwa na kijani kizuri, aisee nilivyo tumia supergro, baada ya wiki 1, nikiona mabadiliko makubwa, kama inavyo onekana pichani. So binafsi, siamini kama iko overrated, naona ndo uhalisia wake! Ila ingredients ndo chsngamoto kwa kweli
Kwenye mahindi unaweka wakati mahindi yapo kwenye hatua ipi? Jibu tafadhali.Hapo nilitumia kwenye Mahindi, sikuweka mbolea
Tafadhali naona kuna uhuni fulani hapa na kwa bahati nzuri umeweka na galoni lenye label halisi. Ukiangalia hio label hakuna mahali palipoandikwa nutrients composition analysis na hakuna sehemu inapoonesha kwamba hio ni foliar/liquid fertilizer isipokuwa kuna organic compound iitwayo ethoxylated alkylphenol ambayo haina cha ziada zaidi ya kutumika kama surfactant.
Aisee! Kumbe ndiyo maana watu huwa wana nyamaza tu hata kama ana idea na kitu. Sifanyi biashara, post zangu zimejieleza, siyo lazima unielewe. Wa kuelewa wameelewa, siwezi kurudia maelezo upya.
Fuatilia post zangu hapo juu, nimeeleza tangu kupanda hadi intervals, based on my experienceKwenye mahindi unaweka wakati mahindi yapo kwenye hatua ipi? Jibu tafadhali.