Super Gro kwenye nyanya

Super Gro kwenye nyanya

ni supergro au supergrow? je inatumikaje kwa mahindi, papai,mpunga nk. Malekezo ya jinsi ya kutumika ni muhimu sana

Asante, nilitaka kushare picha za tikiti za mentor wangu, nikaghairi. Hiyo kitu haikatai zao. Hata kama una muembe, ukipamba tu maua spray super grow, haute amini matokeo yake!
 
ni supergro au supergrow? je inatumikaje kwa mahindi, papai,mpunga nk. Malekezo ya jinsi ya kutumika ni muhimu sana
Hii hapo.
 
Attachments

  • received_1484961594928308.jpeg
    received_1484961594928308.jpeg
    21.3 KB · Views: 31
Ratio ya kuchanganya ni 1cc kwa 1L ya maji. Nilifundishwa kuloweka mbegu na super gro for 48 hrs kabla ya kupanda (si lazima ingawa mmea unatoka tayari una afya nzuri) then napulizia kwa interval ya wiki 3 hadi 4. Utaacha kupulizia unions mmea umechanua. Kama ni matunda unapulizia maua yakipamba,( but sijajaribu kwa matunda ila mentor wangu aliniambia hivyo na nikaona picha za waliofanikiwa)
 
Hii superglo ina nini tukizungumzia hasa uwiano wa nitrogen, phosphorus, potassium pamoja na viambata vingine?
 
ni supergro au supergrow? je inatumikaje kwa mahindi, papai,mpunga nk. Malekezo ya jinsi ya kutumika ni muhimu sana
Hii bidhaa inaaminika sana na watu ila ina virutubisho gani hilo halijawekwa kwenye label yake badala yake maelezo yake ni kuwa inatumika kama wetting agent au sticker kwa maana ya kuwa inasaidia madawa na mbolea nyingine za maji kufanya kazi vizuri kwa kuitawanya katika majani. Lakini pia inatumika kama penetrant katika udongo. Ila shida inauzwa bei kubwa mno kama wakati kuna mbadala ya wetting agent za bei rahisi.
Hivyo hii si mbolea, haina kirutubisho chochote katika mmea ukilinganisha na hio super grow na mbolea nyingine za maji. Wanaodai kuwa inafaa hawatumii hio pekee bali wanaweka na mbolea za kawaida vinginevyo hali ya rutuba ya shamba ni nzuri.
Tukiacha hayo, hii bidhaa imekuzwa sana kwa marketing strategy nzuri kutoka kwa GNLD ambao ndio wanaoitengeneza. Kuna tofauti ndogo sana kati ya GNLD na network marketing nyingine.
 
Uko sahihi, ila nilivyotumia kwenye mboga za majani, sikufanikiwa kupiga picha za before and after, sikutumia mbolea yoyote, na mboga hazikuwa na kijani kizuri, aisee nilivyo tumia supergro, baada ya wiki 1, nikiona mabadiliko makubwa, kama inavyo onekana pichani. So binafsi, siamini kama iko overrated, naona ndo uhalisia wake! Ila ingredients ndo chsngamoto kwa kweli
 
Picha za kabla na baada ingekuwa vizuri maana si rahisi hayo unayosema kutokea. Ukijani wa mmea utakuja endapo mmea utapata lishe inayotosheleza hasa nitrogen, potassium na micronutrients kwa kiasi kidogo. Kiambato amilifu cha superglo ni ethoxylated alkylphenol ambayo inafanya kazi kama surfactant. Hata label yake inaonyesha kwamba inatumika kama wetting agent na soil penetrant na si vinginevyo. Kinachoipa umaarufu ni kwamba wanai-market kama organic fertilizer, huenda wanajua kuwa si rahisi watu kusoma label.
 
Tafadhali naona kuna uhuni fulani hapa na kwa bahati nzuri umeweka na galoni lenye label halisi. Ukiangalia hio label hakuna mahali palipoandikwa nutrients composition analysis na hakuna sehemu inapoonesha kwamba hio ni foliar/liquid fertilizer isipokuwa kuna organic compound iitwayo ethoxylated alkylphenol ambayo haina cha ziada zaidi ya kutumika kama surfactant.

Hio analysis ya neolife ambao ndio GNLD ya nchini SA Kama ingekuwa ni kweli ingeambatanishwa hapo kwenye label halisi, mhuni yeyote anaweza tengeneza hio kwa kutype tu. Wahusika wanabahati sana kwa sababu hutumia maneno mengi yenye kushawishi ambayo mtu wa kawaida asiye na uwezo kushughulisha akili yake hawezi kuchomoka.
 
Back
Top Bottom