Super leauge ni mfumo mpya wa soka unaoenda kuua ligi za ndani na champions league

Super leauge ni mfumo mpya wa soka unaoenda kuua ligi za ndani na champions league

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
3,132
Reaction score
6,353
Badaa ya sakata la super leauge kushindwa kufuluka barani ulaya mashibiki na mashirikisho ya soka ya vilabu barani ulaya vilivyokuwa vinataka kushiriki hii michuano Kukutana nazahama la kutishiwa kuchomewa viwanja, kushwa daraja, kufungiwa kufanya sajili, kuondolewa kwenye ligi za ndani, wachezaji watakoshiriki michuano hii pia walitishiwa kufungiwa kucheza team zao za taifa naona Sasa hili bomu tumeamua kutupiwa waafrica na sisi tumelibeba kama lilivyo

Hata kama Simba na yanga zitashiriki na zitapata pesa za kutosha hii michuano twende mbele turudi nyuma imekaa kweny mifumo ya kibaguzi sana kama Ulifwatilia hoja za shirikisho la soka barani ulaya kwanini wanapinga michuano hii hoja kubwa ambazo walitoa ni kuwa kwanza hii michuano haipo Kwa ajili ya kuendeleaza mpira zaizaidi imekuja kuua soka mfano walitaja vilabu ambavyo vitashirikishiki kweny ligi hii ni vile giant tu mfano Kwa ulaya zingeshirikishi Real Madrid,juve,man united Livepoor, Arsenal, Barcelona n.k it means vilabu vidogo visingeshiriki michuano hii kwey hii michuano na aina ya pesa ambayo wangepewa vilabu hivi kama pesa za ushiriki na zawadi Kwa bingwa ni pesa nyingi sana ambayo ingefanya wawe wanauwezo wakufanya chochote pia hivi vilabu Kwa kiasi kikubwa nguvu kubwa vingewekeza kweny super leauge automatic wangeua ligi za ndani na kukimbiza sponsorship kweny ligi za ndani vilabu vidogo vingetoa wapi mapato ya kujiendesha if sponsorship zote zingekimbilia kweny super leauge nilipenda sana mjadala kati ya Raisi wa Real Madrid na Raisi wa UEFA namna walivyokuwa wanabishana Kwa hoja juu ya hii michuano Kila mmoja akitetea upande wake

Ndio kitu kinachokuja kutoka Africa Kwanza vilabu vitakavyo shiriki ni vile giant tu pesa Kwa ajili ya ushiriki na mzigo ambao utawekwa kweny super leauge ni mwingi sana automatic vilabu vitakwavyo kuwa vinashiriki nguvu kubwa vitakua vinawekeza kweny hiyo michuano na kupuzia ligi za ndani labda Vigezo vya kushiki viwe kama vya CAF champions league ila kama Vigezo vitakua atakayeshiriki ndio itakua Kila mwaka lazima ashiriki jueni kabisa ligi za ndani zinaenda kukosa ushawishi nani atakubali kuvunja wachezaji wake miguu sababu ya Milioni mia wakati Kuna michuano anashiri ki akiweza kufanikiwa kufikia hatua za mbali atavuta zaidi ya mabilioni ya fedha

Pili Kuna vilabu havitakuja shiriki michuano hii hata Kwa bahati mbaya mfano kama Ile chance ambayo alipata namungo ya kushiriki shirikisho kama kungekua na super leauge asingeweza kiufupi kombe la shirikisho limekufa,ligi ya mabigwa afrika imekufa ,na kituo kitakachofata ni ligi za ndani za vilabu vitakavyokua vinashiriki ligi hii
 
Kwahiyo bwana mkubwa unataka kuniambia wewe unajua madhara ya super league kuliko fiorentina perez, raisi wa juventus, wale matajiri watatu wa marekani wanaosimamia liverpool, manchester united na arsenal, raisi wa fifa mwenyewe bwana infantino na yule billionea wa africa kusini na raisi wa caf

Kwamba wao hawakukaa wakaona ya kuwa ligi za ndani zitakufa.

Mambo mengine tujifunze kukaa na kusubiri matokeo
 
Sasa Yanga itakuwaje na keshauza haki zote za Matangazo?
 
Kwahiyo bwana mkubwa unataka kuniambia wewe unajua madhara ya super league kuliko fiorentina perez, raisi wa juventus, wale matajiri watatu wa marekani wanaosimamia liverpool, manchester united na arsenal, raisi wa fifa mwenyewe bwana infantino na yule billionea wa africa kusini na raisi wa caf

Kwamba wao hawakukaa wakaona ya kuwa ligi za ndani zitakufa.

Mambo mengine tujifunze kukaa na kusubiri matokeo
Una akili ndogo sana mkuu hao uliowataja ni binadam na viumbe km ww tu yani Wana mapungufu.
 
Mkuu hujamuelewa vizuri mtoa mada
 
Kumbe hata sakata la super leauge hukufwatilia vizur nikwambie kitu kina Perez na wamiliki wa vilabu vingine walikua wanangania ligi hiyo kwasababu ya pesa inayopatikana kule na hamna kitu kingne zaidi ya hicho ndio maana wakati wanatetea super leauge hoja walizo kuwa wanatoa wanakwambia Kwanza vilabu vyao vilikua vimedolola kiuchumi sababu ya COVID- 19 kwahyo isengekua rahisi kukataa mzigo wa super leauge pili walikua wanadai kweny UEFA wanapata mapato madogo Kulinganisha na brand zao kwahyo isengekua rahisi kukataa mzigo ule afu kitu kingne usisahau kuwa wale ni wafanyabiashara awapo pale kwaajili ya kukupa furaha wew wapo kwaajili ya kuvuna pesa tu
 
Mi nawaza tu hapa, ligi hiyo ikianza tutegemee kuona ligi za ndani zikikosa mvuto....nasikitika kuona kuna wengine hawajatambua Jambo hili.
 
Mi nawaza tu hapa, ligi hiyo ikianza tutegemee kuona ligi za ndani zikikosa mvuto....nasikitika kuona kuna wengine hawajatambua Jambo hili.
Watu wanamshangilia tu ujinga ila kiurisia super leauge ni kirusi kweny soka wao wanachofuraha zile pesa tu
 
Una akili ndogo sana mkuu hao uliowataja ni binadam na viumbe km ww tu yani Wana mapungufu.
Kama wao wana mapumgufu yao katika swala zima la Super Cup ,basi hata kwako inawezekana. Usiwaite watu akili ndogo kwasababu wana mtazamo tofauti na wako juu ya Super Cup.

Lakini usisahau kuwa, wewe unajiona una akili kubwa kutokana na elimu yao wenyewe hao wazungu (tena ya kukariri isiyo na manufaa yoyote).
 
Inasemekana kwamba African Super League itachezwa kwa mfumo wa magrupu ya kikanda ambayo yatakuwa matatu yaani kanda ya Kaskazini, magharibi/kati na kanda ya kusini/mashariki. Mimi naona ni mfumo mzuri maana utasaidia kumtambua bingwa wa kanda kwanza kabla ya kuingia hatua nyingine.
 
Sjajua vizur format ilivyo inaonekana haitakua tofauti sana na Ile ambayo ilipigwa chini ulaya
 
Mi nawaza tu hapa, ligi hiyo ikianza tutegemee kuona ligi za ndani zikikosa mvuto....nasikitika kuona kuna wengine hawajatambua Jambo hili.
Hiyo kitu siafikiani nayo kbsa sijui imekuaje Kuja kupenyeza afica na siyo bara zingine waone watakavyofurushwa hzo pesa si waongeze ktk klabu bingwa na nguvu nyingi ipelekwe kule katk shirikisho why Africa has to be the home of testing thing stupid motsepe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yule raisi wa FiFA raisi wa CAF moja kati ya viongozi wa ovyo zaidi waliwah tokea kwenye soka
 
Back
Top Bottom