Super model wa darling hair afariki dunia

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia kwenu,

Super model wa tangazo la Darling Hair afariki dunia kwa ajali ya gari,ilikuwa zimebaki siku chache afunge ndoa alimuaga mchumba wake kwamba anasafiri kutembelea ndugu kumbe alikuwa kwa mchepuko wake bahati mbaya wakati wa safari walipata ajali na wote wawili kufariki dunia,mchumba wake haamini kilichotokea.





Chanzo: Le Mutuz Blog.
 
Dah hii habari ya huyu mdada imesambaa kwenye wasap kila mahali kuwa alikuwa kwa mchepuko Mungu amlaze sehemu anayo staili
 
Dah hii habari ya huyu mdada imesambaa kwenye wasap kila mahali kuwa alikuwa kwa mchepuko Mungu amlaze sehemu anayo staili

Nilikuwa napitia blog ya le mutuz ndio nimeona hiyo habari alikuwa mtoto makare mteketeke!
 
Dah hii habari ya huyu mdada imesambaa kwenye wasap kila mahali kuwa alikuwa kwa mchepuko Mungu amlaze sehemu anayo staili

Daah..kumbe ndo yule..hata mm nimetumiwa hizo picha asubuhi hii na ratiba ya mazishi ya yule bwana mdogo aliyekuwa nae..jamaa kazaliwa 1988..nikasema gone too soon Issa..
 
hamna sio mchepuko wake ni kaka ake nilivyosikia
walikua wanatoka harusini
kuna rafiki yangu ni majirani zao
 
Jamani umbea bila picha hausisimui jamanii warumi
 
Last edited by a moderator:
Tuwekeeni picha basi wakuu, mbona maneno matupu!
 
Daah huyu Dada anaitwa Khadija insta nilikuwa na mfollow she waz cool jamani jana nilishtuka kweli kusikia amefariki R.I.P Khadija
 
hamna sio mchepuko wake ni kaka ake nilivyosikia
walikua wanatoka harusini
kuna rafiki yangu ni majirani zao

Ajali ilitokea dar? msiba upo wapi? kwenye gari walikuwa wao wa2 au na ndugu zao wengine?
 
hamna sio mchepuko wake ni kaka ake nilivyosikia
walikua wanatoka harusini
kuna rafiki yangu ni majirani zao

My dear....iko ivi huyo dada alikua na mchumba wake ndio wamepata wote ajali,tho alikua na bwana mwingine lakini walishaachana kama miezi minne ivi iliyopita ila aliyepata nae ajali ndie aliyekua nae kwa sasa...anazikwa leo kahama yote haya kanieleza rafiki yangu amabaye ni cousin yake pia kanitumia picha yake akiwa monchwari!!!"Ni hatari
 
Michepuko siyo dili. Iko siku utaangukia kisogo na pua. Rest in hell.
 
,,,,,,,,ttewwwweeeewwwwwwqeerrerrrereerrrrerrrrrrrrrrrrwrrrrrrw enwde ww,,,,,,,,,wait,,,,,,,,,,,,,,,,,,,w,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,was qw,,,,,,w,,xxzsg
 
so kutumiwa picha akiwa mochwari unaona sifa???......daahh kweli shule muhimu jamani......nawaonea huruma wazazi na walimu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…