ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya hekima ya mwanadamu na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya mwanadamu (wenye akili na hekima ya ki Mungu wamenielewa)
Kama huna super natural brain, sio rahisi kuelewa haya mambo. Yanayoendelea ulimwenguni ni mengi na kila mmoja wetu tunayafahamu kidogo Sana.
Kama huna super brain ni rahisi kubisha kwamba Israel ni taifa teule la Mungu na ukaingia kwenye matatizo mazito.
Netanyahu kwenye hotuba ya mwaka huu kwenye bunge la Marekani, aliliongelea Sana hili na alishangiliwa Sana na wabunge wa Marekani.
Raia wa Marekani wengi wanalitambuwa hili na ktk chaguzi zote za USA, Sera ya Israel IPO kwa kila Mgombea. Kwa kufanya hivyo Marekani kama taifa limebarikiwa Sana Kwasababu wako bega kwa bega na Israel.
Kama huna super brain utabisha mpaka utaingia kwenye matatizo.
Muombe Yesu akupe super brain utafunuliwa hii siri.
Kuna Baraka nyingi utazichota kutoka kwa Mungu. Taifa la Marekani limebarikiwa Sana Kwasababu wanayo siri.
Kuna laana nyingi Utazipata unapoipinga Israel. Kuna sehemu Imeandikwa, kuigusa Israel unakuwa umeigusa mboni ya jicho la Mungu.
Tujifunze kwa Marekani