Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Matarajio ya familia yake, period acheni uzwazwadiNi matarajio ya watu wote.
Mwanri anakubalika na raia wote
Mzee msanii tu hamna kituHabari za Sabato!
Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM.
Nimemsikiliza neno kwa neno, sentesi kwa sentensi.
Amewasilisha hotuba yake vizuri nafikiri ni juu ya matarajio ya hata waliomteua. Mapokeo ya watu waliohudhuria mkutano huo yalikuwa ya matumaini, Ari na nguvu zilizokuwa zimekata tamaa.
Nilipenda sentensi yake moja "HAKUNA MTU ATAKAYEONEWA" hiyo ni sentensi yenye kuleta imani na tumaini kwa wale ambao tayari walikuwa wanaiona CCM kama chama cha majangili na waonevu wasio na huruma.
Agrey ametumia kwa sehemu kubwa maneno ya Mungu, amewapa watu moyo na ameonyesha kwamba anahofu na Mungu. Huku akisisitiza hilo pia kwa wengine.
Baada ya Video. Nilipitia comments katika majukwaa kadhaa. Watu wengi walifurahishwa na uteuzi huo. Hotuba yake imependeza wengi. Maoni mengi yameamsha matumaini ya watu.
Hii inamaanisha jambo gani?
Hii tunaweza iita Super Sub ambayo bila shaka CCM itawanufaisha kwa kiwango kikubwa.
Sababu za CCM kunufaika na kete(sub) hii walioifanya;
1. Agrey ni Mzungumzaji Mzuri mwenye uwezo wa kujenga hoja zake bila kutumia nguvu.
2. Agrey ni Moja ya Wazee wachache hapa nchini ambao wanaheshimika na hawana Scandals za ajabuajabu.
Hivyo kumrushia zile missile za matusi mtu kama Agrey ni kutafuta kugombana na watu.
Kwani mtu msafi mara nyingi ukimchafua unachafuka mwenyewe.
3. Agrey anajua kucheza na Akili za kizazi hiki. Ana sanaa ya lugha. Anajua nini aseme na watu wafurahi.
Agrey ni wale viongozi wanaoweza kukuadhibu huku wote mkiwa mnacheka.
4. Agrey hataki sifa wala sio wale watu wakutaka kumu- outshine boss wake.
5. Agrey haoni tatizo mtu mwingine kuwa Chama kingine. Kuwa mpinzani kwake sio tatizo.
Hii ni kumaanisha upinzani wanayohaja ya kutafakari. Kwa maana ni wazi kete hii imeingizwa mchezoni kwa lengo la kubadili mfumo wa siasa.
Ni wazi hakutakuwa na siasa za nguvu na mabavu. Kwa sababu kete kama Mwanri na akiongezewa Winga wawili wa kushambulia CCM haitakuwa na sababu ya kutumia nguvu pale wanapokabiliana na upinzani.
Polisi watafanya kazi yao bila kumpendelea yeyote.
Kama Tundu Lisu akitoka, basi itampasa aangalie wanaenda na mbinu ipi kama mfumo wa mchezo wa siasa utabadilika.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mpigaji tu km wengine hamna jipya wabongo easy sana kuwazuga na kuwaweka kwenye kilengeo yaniMzee msanii tu hamna kitu
Kisa kauli ile ya sukuma ndani au!?Ni matarajio ya watu wote.
Mwanri anakubalika na raia wote
Huyo ni comedian tuHabari za Sabato!
Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM.
Nimemsikiliza neno kwa neno, sentesi kwa sentensi.
Amewasilisha hotuba yake vizuri nafikiri ni juu ya matarajio ya hata waliomteua. Mapokeo ya watu waliohudhuria mkutano huo yalikuwa ya matumaini, Ari na nguvu zilizokuwa zimekata tamaa.
Nilipenda sentensi yake moja "HAKUNA MTU ATAKAYEONEWA" hiyo ni sentensi yenye kuleta imani na tumaini kwa wale ambao tayari walikuwa wanaiona CCM kama chama cha majangili na waonevu wasio na huruma.
Agrey ametumia kwa sehemu kubwa maneno ya Mungu, amewapa watu moyo na ameonyesha kwamba anahofu na Mungu. Huku akisisitiza hilo pia kwa wengine.
Baada ya Video. Nilipitia comments katika majukwaa kadhaa. Watu wengi walifurahishwa na uteuzi huo. Hotuba yake imependeza wengi. Maoni mengi yameamsha matumaini ya watu.
Hii inamaanisha jambo gani?
Hii tunaweza iita Super Sub ambayo bila shaka CCM itawanufaisha kwa kiwango kikubwa.
Sababu za CCM kunufaika na kete(sub) hii walioifanya;
1. Agrey ni Mzungumzaji Mzuri mwenye uwezo wa kujenga hoja zake bila kutumia nguvu.
2. Agrey ni Moja ya Wazee wachache hapa nchini ambao wanaheshimika na hawana Scandals za ajabuajabu.
Hivyo kumrushia zile missile za matusi mtu kama Agrey ni kutafuta kugombana na watu.
Kwani mtu msafi mara nyingi ukimchafua unachafuka mwenyewe.
3. Agrey anajua kucheza na Akili za kizazi hiki. Ana sanaa ya lugha. Anajua nini aseme na watu wafurahi.
Agrey ni wale viongozi wanaoweza kukuadhibu huku wote mkiwa mnacheka.
4. Agrey hataki sifa wala sio wale watu wakutaka kumu- outshine boss wake.
5. Agrey haoni tatizo mtu mwingine kuwa Chama kingine. Kuwa mpinzani kwake sio tatizo.
Hii ni kumaanisha upinzani wanayohaja ya kutafakari. Kwa maana ni wazi kete hii imeingizwa mchezoni kwa lengo la kubadili mfumo wa siasa.
Ni wazi hakutakuwa na siasa za nguvu na mabavu. Kwa sababu kete kama Mwanri na akiongezewa Winga wawili wa kushambulia CCM haitakuwa na sababu ya kutumia nguvu pale wanapokabiliana na upinzani.
Polisi watafanya kazi yao bila kumpendelea yeyote.
Kama Tundu Lisu akitoka, basi itampasa aangalie wanaenda na mbinu ipi kama mfumo wa mchezo wa siasa utabadilika.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Issue ya CCM sio kuwepo kwa watu wapya au wa zamani.Tatizo la CCM ni matendo na matukio yaliyojitokeza siku za hivi karibuni ambayo yameichafua serikali na chama chenyewe. Kwa sasa hivi hakuna kitakachoisafisha CCM;hakuna,hakuna. Kibaya zaidi wenyewe hawajui,wanafikiri ni kubadili viongozi. Njia sahihi ambayo itakisaidia chama cha mapinduzi ni kukomesha utekaji na ikiwezekana kuwachukulia hatua watekaji hata kwa kinafiki tuHabari za Sabato!
Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM.
Nimemsikiliza neno kwa neno, sentesi kwa sentensi.
Amewasilisha hotuba yake vizuri nafikiri ni juu ya matarajio ya hata waliomteua. Mapokeo ya watu waliohudhuria mkutano huo yalikuwa ya matumaini, Ari na nguvu zilizokuwa zimekata tamaa.
Nilipenda sentensi yake moja "HAKUNA MTU ATAKAYEONEWA" hiyo ni sentensi yenye kuleta imani na tumaini kwa wale ambao tayari walikuwa wanaiona CCM kama chama cha majangili na waonevu wasio na huruma.
Agrey ametumia kwa sehemu kubwa maneno ya Mungu, amewapa watu moyo na ameonyesha kwamba anahofu na Mungu. Huku akisisitiza hilo pia kwa wengine.
Baada ya Video. Nilipitia comments katika majukwaa kadhaa. Watu wengi walifurahishwa na uteuzi huo. Hotuba yake imependeza wengi. Maoni mengi yameamsha matumaini ya watu.
Hii inamaanisha jambo gani?
Hii tunaweza iita Super Sub ambayo bila shaka CCM itawanufaisha kwa kiwango kikubwa.
Sababu za CCM kunufaika na kete(sub) hii walioifanya;
1. Agrey ni Mzungumzaji Mzuri mwenye uwezo wa kujenga hoja zake bila kutumia nguvu.
2. Agrey ni Moja ya Wazee wachache hapa nchini ambao wanaheshimika na hawana Scandals za ajabuajabu.
Hivyo kumrushia zile missile za matusi mtu kama Agrey ni kutafuta kugombana na watu.
Kwani mtu msafi mara nyingi ukimchafua unachafuka mwenyewe.
3. Agrey anajua kucheza na Akili za kizazi hiki. Ana sanaa ya lugha. Anajua nini aseme na watu wafurahi.
Agrey ni wale viongozi wanaoweza kukuadhibu huku wote mkiwa mnacheka.
4. Agrey hataki sifa wala sio wale watu wakutaka kumu- outshine boss wake.
5. Agrey haoni tatizo mtu mwingine kuwa Chama kingine. Kuwa mpinzani kwake sio tatizo.
Hii ni kumaanisha upinzani wanayohaja ya kutafakari. Kwa maana ni wazi kete hii imeingizwa mchezoni kwa lengo la kubadili mfumo wa siasa.
Ni wazi hakutakuwa na siasa za nguvu na mabavu. Kwa sababu kete kama Mwanri na akiongezewa Winga wawili wa kushambulia CCM haitakuwa na sababu ya kutumia nguvu pale wanapokabiliana na upinzani.
Polisi watafanya kazi yao bila kumpendelea yeyote.
Kama Tundu Lisu akitoka, basi itampasa aangalie wanaenda na mbinu ipi kama mfumo wa mchezo wa siasa utabadilika.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
A.Mwanri yuko vizuri lkn with the wrong team hata uwe na kipaji kizuri kiasi gani haitosaidia chochote na hii regime, regime ambayo haielewi wala kutambua umuhimu wa cag na auditing unategema nini? ...
shehe ni yule yule kanzu mpya!!