antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Raia wote??Ni matarajio ya watu wote.
Mwanri anakubalika na raia wote
Tatizo kubwa hilo chama halikubaliki kwa sasa
Raia wote??Ni matarajio ya watu wote.
Mwanri anakubalika na raia wote
CW wala hawatuonei , kama taifa ni ujinga wa wawachache unalifikisha Taifa katika hali hii mfano4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA NI AIBU
Imekuwaje CCM imehamia kutumia wazee zaidi kuliko huko nyuma sababu ni nini ?Habari za Sabato!
Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM.
Nimemsikiliza neno kwa neno, sentesi kwa sentensi.
Amewasilisha hotuba yake vizuri nafikiri ni juu ya matarajio ya hata waliomteua. Mapokeo ya watu waliohudhuria mkutano huo yalikuwa ya matumaini, Ari na nguvu zilizokuwa zimekata tamaa.
Nilipenda sentensi yake moja "HAKUNA MTU ATAKAYEONEWA" hiyo ni sentensi yenye kuleta imani na tumaini kwa wale ambao tayari walikuwa wanaiona CCM kama chama cha majangili na waonevu wasio na huruma.
Agrey ametumia kwa sehemu kubwa maneno ya Mungu, amewapa watu moyo na ameonyesha kwamba anahofu na Mungu. Huku akisisitiza hilo pia kwa wengine.
Baada ya Video. Nilipitia comments katika majukwaa kadhaa. Watu wengi walifurahishwa na uteuzi huo. Hotuba yake imependeza wengi. Maoni mengi yameamsha matumaini ya watu.
Hii inamaanisha jambo gani?
Hii tunaweza iita Super Sub ambayo bila shaka CCM itawanufaisha kwa kiwango kikubwa.
Sababu za CCM kunufaika na kete(sub) hii walioifanya;
1. Agrey ni Mzungumzaji Mzuri mwenye uwezo wa kujenga hoja zake bila kutumia nguvu.
2. Agrey ni Moja ya Wazee wachache hapa nchini ambao wanaheshimika na hawana Scandals za ajabuajabu.
Hivyo kumrushia zile missile za matusi mtu kama Agrey ni kutafuta kugombana na watu.
Kwani mtu msafi mara nyingi ukimchafua unachafuka mwenyewe.
3. Agrey anajua kucheza na Akili za kizazi hiki. Ana sanaa ya lugha. Anajua nini aseme na watu wafurahi.
Agrey ni wale viongozi wanaoweza kukuadhibu huku wote mkiwa mnacheka.
4. Agrey hataki sifa wala sio wale watu wakutaka kumu- outshine boss wake.
5. Agrey haoni tatizo mtu mwingine kuwa Chama kingine. Kuwa mpinzani kwake sio tatizo.
Hii ni kumaanisha upinzani wanayohaja ya kutafakari. Kwa maana ni wazi kete hii imeingizwa mchezoni kwa lengo la kubadili mfumo wa siasa.
Ni wazi hakutakuwa na siasa za nguvu na mabavu. Kwa sababu kete kama Mwanri na akiongezewa Winga wawili wa kushambulia CCM haitakuwa na sababu ya kutumia nguvu pale wanapokabiliana na upinzani.
Polisi watafanya kazi yao bila kumpendelea yeyote.
Kama Tundu Lisu akitoka, basi itampasa aangalie wanaenda na mbinu ipi kama mfumo wa mchezo wa siasa utabadilika.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kwa CCM yeye ni Afisa utawala au kama DAP katika Wizara. Anahusika na utawalaHabari za Sabato!

Hamna kitu hapo akemee mauaji. rushwa na kubambikiza watu kesi kwanza ndiyo tutamwelewaHabari za Sabato!

Mimi nimekuelewa mkuu,nimekuelewa sana!alivyosema Andrew Nyerere hafikirii madhara ya maamuzi yake yaani hana foresight🤣🤣🤣,shida ya bibi abunuasi alifeli hesabu kwa hiyo uwezo wake wa kufikiria uko chini sana,sema ndo hivyo kapanda panda kwa kuvua chupi leo anaongoza gari la wendawazimu
SABABU NI HII. "UKIONA MAMBO HAYAENDI ONGEA NA WAZEE, ALISIKIKA KIONGOZI MKUBWA AKITOA USHAURI KWA KIONGOZI WA SASA.Imekuwaje CCM imehamia kutumia wazee zaidi kuliko huko nyuma sababu ni nini ?
Ni matarajio ya watu wote.
Mwanri anakubalika na raia wote
Rubbish....kwa yaliyotokea MO 29 asahau.....Rasmi huyo Mwanri anakuwa kwenye kundi la wauajiNi matarajio ya watu wote.
Mwanri anakubalika na raia wote
Hamna kitu hapo akemee mauaji. rushwa na kubambikiza watu kesi kwanza ndiyo tutamwelewa
Sasa Mzee Wasira, Mwanri na yule Mkuuwa Mkoa wa Tabora wanaweza kuwashawishi kipi Gen Z ?SABABU NI HII. "UKIONA MAMBO HAYAENDI ONGEA NA WAZEE, ALISIKIKA KIONGOZI MKUBWA AKITOA USHAURI KWA KIONGOZI WA SASA.
My dog! 😂😂😂kapanda panda kwa kuvua chupi leo anaongoza gari la wendawazimu
Yani Lissu asumbuliwe na mwanri aliyeshindwa kura za maoni na mgonjwa wa degedege mollelHabari za Sabato!
Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM.
Nimemsikiliza neno kwa neno, sentesi kwa sentensi.
Amewasilisha hotuba yake vizuri nafikiri ni juu ya matarajio ya hata waliomteua. Mapokeo ya watu waliohudhuria mkutano huo yalikuwa ya matumaini, Ari na nguvu zilizokuwa zimekata tamaa.
Nilipenda sentensi yake moja "HAKUNA MTU ATAKAYEONEWA" hiyo ni sentensi yenye kuleta imani na tumaini kwa wale ambao tayari walikuwa wanaiona CCM kama chama cha majangili na waonevu wasio na huruma.
Agrey ametumia kwa sehemu kubwa maneno ya Mungu, amewapa watu moyo na ameonyesha kwamba anahofu na Mungu. Huku akisisitiza hilo pia kwa wengine.
Baada ya Video. Nilipitia comments katika majukwaa kadhaa. Watu wengi walifurahishwa na uteuzi huo. Hotuba yake imependeza wengi. Maoni mengi yameamsha matumaini ya watu.
Hii inamaanisha jambo gani?
Hii tunaweza iita Super Sub ambayo bila shaka CCM itawanufaisha kwa kiwango kikubwa.
Sababu za CCM kunufaika na kete(sub) hii walioifanya;
1. Agrey ni Mzungumzaji Mzuri mwenye uwezo wa kujenga hoja zake bila kutumia nguvu.
2. Agrey ni Moja ya Wazee wachache hapa nchini ambao wanaheshimika na hawana Scandals za ajabuajabu.
Hivyo kumrushia zile missile za matusi mtu kama Agrey ni kutafuta kugombana na watu.
Kwani mtu msafi mara nyingi ukimchafua unachafuka mwenyewe.
3. Agrey anajua kucheza na Akili za kizazi hiki. Ana sanaa ya lugha. Anajua nini aseme na watu wafurahi.
Agrey ni wale viongozi wanaoweza kukuadhibu huku wote mkiwa mnacheka.
4. Agrey hataki sifa wala sio wale watu wakutaka kumu- outshine boss wake.
5. Agrey haoni tatizo mtu mwingine kuwa Chama kingine. Kuwa mpinzani kwake sio tatizo.
Hii ni kumaanisha upinzani wanayohaja ya kutafakari. Kwa maana ni wazi kete hii imeingizwa mchezoni kwa lengo la kubadili mfumo wa siasa.
Ni wazi hakutakuwa na siasa za nguvu na mabavu. Kwa sababu kete kama Mwanri na akiongezewa Winga wawili wa kushambulia CCM haitakuwa na sababu ya kutumia nguvu pale wanapokabiliana na upinzani.
Polisi watafanya kazi yao bila kumpendelea yeyote.
Kama Tundu Lisu akitoka, basi itampasa aangalie wanaenda na mbinu ipi kama mfumo wa mchezo wa siasa utabadilika.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kipindi kile Hayati Mwamba Kabisa Magufuli anagombea Urais UDSM Mzee Aggrey Mwamba alikuwa Kampeni Meneja wake!Habari za Sabato!

Nimefuta,sijui wewe umeelewa namuongelea nani?ila samahani kwa kuwa nilikuwa nimecomment kwenye uzi ulionzisha wewe ngoja nifuteKuvua ulimvua wewe?
Usifanye hivi. Hata kama unahasira jitahidi kujizuia.
Yeye anakubalika kama futuhi (comedian),lakini siyo katika utendaji.Habari za Sabato!
Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM.
Nimemsikiliza neno kwa neno, sentesi kwa sentensi.
Amewasilisha hotuba yake vizuri nafikiri ni juu ya matarajio ya hata waliomteua. Mapokeo ya watu waliohudhuria mkutano huo yalikuwa ya matumaini, Ari na nguvu zilizokuwa zimekata tamaa.
Nilipenda sentensi yake moja "HAKUNA MTU ATAKAYEONEWA" hiyo ni sentensi yenye kuleta imani na tumaini kwa wale ambao tayari walikuwa wanaiona CCM kama chama cha majangili na waonevu wasio na huruma.
Agrey ametumia kwa sehemu kubwa maneno ya Mungu, amewapa watu moyo na ameonyesha kwamba anahofu na Mungu. Huku akisisitiza hilo pia kwa wengine.
Baada ya Video. Nilipitia comments katika majukwaa kadhaa. Watu wengi walifurahishwa na uteuzi huo. Hotuba yake imependeza wengi. Maoni mengi yameamsha matumaini ya watu.
Hii inamaanisha jambo gani?
Hii tunaweza iita Super Sub ambayo bila shaka CCM itawanufaisha kwa kiwango kikubwa.
Sababu za CCM kunufaika na kete(sub) hii walioifanya;
1. Agrey ni Mzungumzaji Mzuri mwenye uwezo wa kujenga hoja zake bila kutumia nguvu.
2. Agrey ni Moja ya Wazee wachache hapa nchini ambao wanaheshimika na hawana Scandals za ajabuajabu.
Hivyo kumrushia zile missile za matusi mtu kama Agrey ni kutafuta kugombana na watu.
Kwani mtu msafi mara nyingi ukimchafua unachafuka mwenyewe.
3. Agrey anajua kucheza na Akili za kizazi hiki. Ana sanaa ya lugha. Anajua nini aseme na watu wafurahi.
Agrey ni wale viongozi wanaoweza kukuadhibu huku wote mkiwa mnacheka.
4. Agrey hataki sifa wala sio wale watu wakutaka kumu- outshine boss wake.
5. Agrey haoni tatizo mtu mwingine kuwa Chama kingine. Kuwa mpinzani kwake sio tatizo.
Hii ni kumaanisha upinzani wanayohaja ya kutafakari. Kwa maana ni wazi kete hii imeingizwa mchezoni kwa lengo la kubadili mfumo wa siasa.
Ni wazi hakutakuwa na siasa za nguvu na mabavu. Kwa sababu kete kama Mwanri na akiongezewa Winga wawili wa kushambulia CCM haitakuwa na sababu ya kutumia nguvu pale wanapokabiliana na upinzani.
Polisi watafanya kazi yao bila kumpendelea yeyote.
Kama Tundu Lisu akitoka, basi itampasa aangalie wanaenda na mbinu ipi kama mfumo wa mchezo wa siasa utabadilika.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Yeye anakubalika kama futuhi (comedian),lakini siyo katika utendaji.