Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Kumbe CCM ilikuwa imekufa.
Kumbe chupi ndiyo imepandisha hadi kuwa hapa?Ndiyo maana ni roporopo sana hana maadili mema kabisa.Naibu hana nguvu yoyote kwenye chama hata kwenye dola,shida ya CCM sio chama cha siasa ni chama dola,na yule bibi abunuasi kama alivyosema Andrew Nyerere hafikirii madhara ya maamuzi yake yaani hana foresight🤣🤣🤣,shida ya bibi abunuasi alifeli hesabu kwa hiyo uwezo wake wa kufikiria uko chini sana,sema ndo hivyo kapanda panda kwa kuvua chupi leo anaongoza gari la wendawazimu
Mzee msanii tu hamna kitu
Mnavyowasifiaga wakipewa uteuzi utafikiri wametoka sayari ingine au wamebadilika kuwa malaika wakati tulikuwa nao humuhumu tunakula nao chips dume na ndio waliotufikisha shitholeni tulipo!
CCM ni ile ile , matumaini yapi mnataka?
Una habari huyo mtu mwenye fulana ya kijani alitekwa na kuuwawa na hakuna mwanaccm aliyeongelea suala lake hadi leo?
Mtu aliyekua akionana na rais mtangulizi miaka michache nyuma akawa wa kuishi mafichoni kwa utambulisho bandia.
View attachment 3641424
Ni matarajio ya watu wote.
Mwanri anakubalika na raia wote
Naibu hana nguvu yoyote kwenye chama hata kwenye dola,shida ya CCM sio chama cha siasa ni chama dola,na yule bibi abunuasi kama alivyosema Andrew Nyerere hafikirii madhara ya maamuzi yake yaani hana foresight🤣🤣🤣,shida ya bibi abunuasi alifeli hesabu kwa hiyo uwezo wake wa kufikiria uko chini sana,sema ndo hivyo kapanda panda kwa kuvua chupi leo anaongoza gari la wendawazimu
CCM ni ile ile.
Bila msaada wa wazungu Hawa ngedere wangetuonea sana.
Ni watu wa kukandamiza haki na katiba
PUMBAVU ZAO KABISA.
Mwanri ni Peter Msigwa aliechangamka wanasiasa waongo waongo
Yetu macho kwani mbali basi! Muda utaongea na tutakuja kufukua hili kaburiHapana Mkuu.
Ndani ya chama watu hawafanani. Hata kwenye familia watoto waliozaliwa tumbo moja, Baba mmoja.
Angekubalika angepigwa chini ubunge Siha mara tatu?. Sema ni muongeaji mzuri.Ni matarajio ya watu wote.
Mwanri anakubalika na raia wote
Mwanri ndiye atakayewajibika kwa yaliyotokea Octoba 29?.Habari za Sabato!
Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM.
Nimemsikiliza neno kwa neno, sentesi kwa sentensi.
Amewasilisha hotuba yake vizuri nafikiri ni juu ya matarajio ya hata waliomteua. Mapokeo ya watu waliohudhuria mkutano huo yalikuwa ya matumaini, Ari na nguvu zilizokuwa zimekata tamaa.
Nilipenda sentensi yake moja "HAKUNA MTU ATAKAYEONEWA" hiyo ni sentensi yenye kuleta imani na tumaini kwa wale ambao tayari walikuwa wanaiona CCM kama chama cha majangili na waonevu wasio na huruma.
Agrey ametumia kwa sehemu kubwa maneno ya Mungu, amewapa watu moyo na ameonyesha kwamba anahofu na Mungu. Huku akisisitiza hilo pia kwa wengine.
Baada ya Video. Nilipitia comments katika majukwaa kadhaa. Watu wengi walifurahishwa na uteuzi huo. Hotuba yake imependeza wengi. Maoni mengi yameamsha matumaini ya watu.
Hii inamaanisha jambo gani?
Hii tunaweza iita Super Sub ambayo bila shaka CCM itawanufaisha kwa kiwango kikubwa.
Sababu za CCM kunufaika na kete(sub) hii walioifanya;
1. Agrey ni Mzungumzaji Mzuri mwenye uwezo wa kujenga hoja zake bila kutumia nguvu.
2. Agrey ni Moja ya Wazee wachache hapa nchini ambao wanaheshimika na hawana Scandals za ajabuajabu.
Hivyo kumrushia zile missile za matusi mtu kama Agrey ni kutafuta kugombana na watu.
Kwani mtu msafi mara nyingi ukimchafua unachafuka mwenyewe.
3. Agrey anajua kucheza na Akili za kizazi hiki. Ana sanaa ya lugha. Anajua nini aseme na watu wafurahi.
Agrey ni wale viongozi wanaoweza kukuadhibu huku wote mkiwa mnacheka.
4. Agrey hataki sifa wala sio wale watu wakutaka kumu- outshine boss wake.
5. Agrey haoni tatizo mtu mwingine kuwa Chama kingine. Kuwa mpinzani kwake sio tatizo.
Hii ni kumaanisha upinzani wanayohaja ya kutafakari. Kwa maana ni wazi kete hii imeingizwa mchezoni kwa lengo la kubadili mfumo wa siasa.
Ni wazi hakutakuwa na siasa za nguvu na mabavu. Kwa sababu kete kama Mwanri na akiongezewa Winga wawili wa kushambulia CCM haitakuwa na sababu ya kutumia nguvu pale wanapokabiliana na upinzani.
Polisi watafanya kazi yao bila kumpendelea yeyote.
Kama Tundu Lisu akitoka, basi itampasa aangalie wanaenda na mbinu ipi kama mfumo wa mchezo wa siasa utabadilika.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Atajibu maswali ya watanzania ikiwemo kikundi kinchoteka na kuua kinaongozwa na nani?Ni matarajio ya watu wote.
Mwanri anakubalika na raia wote
Uozo wa CCM na ubaradhuli wa string-pullers wa ndani ya chama ni vitu asivyoweza kuvibadilishaHabari za Sabato!
Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM.
Nimemsikiliza neno kwa neno, sentesi kwa sentensi.
Amewasilisha hotuba yake vizuri nafikiri ni juu ya matarajio ya hata waliomteua. Mapokeo ya watu waliohudhuria mkutano huo yalikuwa ya matumaini, Ari na nguvu zilizokuwa zimekata tamaa.
Nilipenda sentensi yake moja "HAKUNA MTU ATAKAYEONEWA" hiyo ni sentensi yenye kuleta imani na tumaini kwa wale ambao tayari walikuwa wanaiona CCM kama chama cha majangili na waonevu wasio na huruma.
Agrey ametumia kwa sehemu kubwa maneno ya Mungu, amewapa watu moyo na ameonyesha kwamba anahofu na Mungu. Huku akisisitiza hilo pia kwa wengine.
Baada ya Video. Nilipitia comments katika majukwaa kadhaa. Watu wengi walifurahishwa na uteuzi huo. Hotuba yake imependeza wengi. Maoni mengi yameamsha matumaini ya watu.
Hii inamaanisha jambo gani?
Hii tunaweza iita Super Sub ambayo bila shaka CCM itawanufaisha kwa kiwango kikubwa.
Sababu za CCM kunufaika na kete(sub) hii walioifanya;
1. Agrey ni Mzungumzaji Mzuri mwenye uwezo wa kujenga hoja zake bila kutumia nguvu.
2. Agrey ni Moja ya Wazee wachache hapa nchini ambao wanaheshimika na hawana Scandals za ajabuajabu.
Hivyo kumrushia zile missile za matusi mtu kama Agrey ni kutafuta kugombana na watu.
Kwani mtu msafi mara nyingi ukimchafua unachafuka mwenyewe.
3. Agrey anajua kucheza na Akili za kizazi hiki. Ana sanaa ya lugha. Anajua nini aseme na watu wafurahi.
Agrey ni wale viongozi wanaoweza kukuadhibu huku wote mkiwa mnacheka.
4. Agrey hataki sifa wala sio wale watu wakutaka kumu- outshine boss wake.
5. Agrey haoni tatizo mtu mwingine kuwa Chama kingine. Kuwa mpinzani kwake sio tatizo.
Hii ni kumaanisha upinzani wanayohaja ya kutafakari. Kwa maana ni wazi kete hii imeingizwa mchezoni kwa lengo la kubadili mfumo wa siasa.
Ni wazi hakutakuwa na siasa za nguvu na mabavu. Kwa sababu kete kama Mwanri na akiongezewa Winga wawili wa kushambulia CCM haitakuwa na sababu ya kutumia nguvu pale wanapokabiliana na upinzani.
Polisi watafanya kazi yao bila kumpendelea yeyote.
Kama Tundu Lisu akitoka, basi itampasa aangalie wanaenda na mbinu ipi kama mfumo wa mchezo wa siasa utabadilika.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Unapambana sana na nyuzi za hapa na pale kuifanya CCM iwe relevant kwa raia ila fahamu hakuna mtu wa kuirudisha kuifanya CCM kuwa chama kinachotarajiwa na raia wengi kubadilisha lolote kubwa au la maana katika Tanzania ya sasa, ni chama kilichochokwa haswa na majority ya raia wa kawaida.Umesema Kweli kabisa.
Naona Mpango wa CCM kuelekea 2030 ni kuingiza safu za ushambuliaji zisizo na mambo mengi kwa raia. Kama walivyofanya kwa Magufuli 2015.
Sanaa za uyu mzee wa Toronto za kitoto, akiwa tabora kama mkuu wa mkoa alienda hospital flani hivi ,kuna jambo pale hosp lilikua lilizushwa ,katika kikao cha ndani akawambia jamani sasa naenda kwa wandishi wa Habari nitakemea sana ,nalinda ugali watu vicheko na kweli nje alitema nyongo kama ni kweli.Siasa pia ni sanaa Mkuu.
Mtu akionewa yeye kama Naibu atachukua maamuzi gani? Au hajui hicho cheo hakina nguvu yoyote.Habari za Sabato!