Super Sub ya Agrey Mwanri iliyofanywa na CCM itarudisha matumaini ya Wafuasi na wanachama wa CCM?

CW wala hawatuonei , kama taifa ni ujinga wa wawachache unalifikisha Taifa katika hali hii mfano

Why bora uchaguzi
Why mweka ndani lissu
Why teka, ua na poteza watu
Why mauaji 29 Oct
Why makesi ya ugaaidi kila kona
Tuliona kwa nchi ambayo imetuzidi yote , no 1 Dunian USA Trump alikua rais kwa chama chake akapigwa chini na Biden kupitia chama kingine ,wakajipanga vizur Trump akarudi tena . Hii ndo siasa
 
Imekuwaje CCM imehamia kutumia wazee zaidi kuliko huko nyuma sababu ni nini ?
 
Kwa CCM yeye ni Afisa utawala au kama DAP katika Wizara. Anahusika na utawala
 
Hamna kitu hapo akemee mauaji. rushwa na kubambikiza watu kesi kwanza ndiyo tutamwelewa
 
Mimi nimekuelewa mkuu,nimekuelewa sana!
 
Masikini Huyo Mwanri anaenda kuchafuka...Sasa rasmi anakuwa kwenye kundi la wauaji wa Tanganyika ..
 
Yani Lissu asumbuliwe na mwanri aliyeshindwa kura za maoni na mgonjwa wa degedege mollel
 
Kipindi kile Hayati Mwamba Kabisa Magufuli anagombea Urais UDSM Mzee Aggrey Mwamba alikuwa Kampeni Meneja wake!
 
Yeye anakubalika kama futuhi (comedian),lakini siyo katika utendaji.
 
Can one good guy change a whole system? Mfumo wa chama ukiamua mambo yake, yeye kama Naibu Katibu Mkuu atakuwa na sauti gani ya kuzuia hayo maovu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…