Super Sub ya Agrey Mwanri iliyofanywa na CCM itarudisha matumaini ya Wafuasi na wanachama wa CCM?

..hakuna mtu atakayeonewa.

..hivi tunavyozungumza kuna watu wameonewa.

..hivi tunavyozungumza kuna watu wanaonewa.

..Mzee Mwanri akiulizwa nini kinaendelea kwa Tundu Lissu atajibu nini?
 
Aggrey Mwanri atumie uwezo wake na kipaji cha kuhamasisha kumwambia mama Samia awaaachie wapinzani walio jela ikiwa ni pamoja na Lissu na Polepole na wengine.
Tatizo si kukisafisha chama bali kusahihisha makosa.
Na vile vile ajue hata kwa wana CCM, mauaji ya OKT 29, si rahisi kusameheka , hata watu wakikubali yaishe.
 
Hapo wameweka mvinyo wa kale katika kiriba cha kale.
 
Haitasaidia chochote, shida ya ccm inaanzia pale juu kwenye maamuzi makuu, huyu sanasana atakuwa mtu wa kupokea maagizo, ni wazi anaenda kuharibu legacy yake kwa kufanya kazi na utawala huu haramu, ccm hakuna matumaini tena bali ni uozo, tutegemee mwanry kuwa chawa wa kutukuka
 

Oooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…