TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,041
Dakika ya ngapi mkuu?tushatupiwa la tatu aiseee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya ngapi mkuu?tushatupiwa la tatu aiseee..
Kwani mpira umeisha? Haya matokeo sio mazuri haya majamaa ya jangwani yatarudi kileleni, huku mtaani hakutakalika.
vipi mliopo taifa mbona kimya ?
Logout
Hatuna kiboko sisi..... tena leo tunamchapa mtu mabao matano afu tunakuwa tumefika Kileleni.
Mbeya city 3-2
Mkuu you are trying to daydream!natabiri gem itaisha 3-3
Azam kweli Vibonde.
hahaaaaaa.Mbeya city bwanaaaaa...Azam 2,Nbeya city 3,hattrick kwa Yeya.wapi Ndetichia
Wanatisha kama njaa!wabaya eeeeeh
Kileleni lazima kufika Mwenyekiti
Mkuu kwani unataka kuvunja viti?Ivi tukivunja viti nani atakae tudai?
He he he! Hawa MBEYA CITY ni noumer!
Mkuu ngoma imelala hiyo!tulia tuchomoe hapa..
Logout