Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kaka usifiche hisia zako za mapenzi kwa Mby City. Kyala alinanuswe daima.
Kyala abhimileghe itolo...une ndi mwana ghwa Jangwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka usifiche hisia zako za mapenzi kwa Mby City. Kyala alinanuswe daima.
mkuu ndetichia nilitabiri tangu mwanzo kuwa leo MCC 2 - LAMBA LAMBA 1
jamaa hapo juu anasema boco karudisha hivyo umenoa ndugu
Daaaaaah..........Mungu simama na Mby City tushinde.
mbeya city piga hao Azam wakale sembe.
Mpaka sasa hao jamaa (MCC) wanapumulia mipira.
tatu kwa ngapi? na dakika ya ngapi?
kuna mtu katabiri kuwa game itaisha 2-2. huyo jamaa lazima atakuwa ni ukoo wa shehe yahaya
Tanesco namna gani hapa Mwanza. Aaaaagh..........
Kama kawa kama dawa.... tunatisha...
Kyala abhimileghe itolo...une ndi mwana ghwa Jangwani
Nasikia mkoa wa mbeya wameongoza bei ya bidhaa kati ya tsh 50-100 ambayo inaenda kuisapoti timu,vip kuna ukweli kwa hili
Kyala abhimileghe itolo...une ndi mwana ghwa Jangwani
goooooooooooooooooooooo mbeya city wanaongeza bao la 3