Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

mkuu ndetichia nilitabiri tangu mwanzo kuwa leo MCC 2 - LAMBA LAMBA 1
 
MCC wanafanya uzembe hapa,Azam wanapata kona,kipa anachezewa rafu,inakuwa foul
 
Mkuu mimi ni mdau mkubwa wa JF Lounge yote hivyo hata huku nipo sana tu...

Mbeya City ni wazuri sana kwa kuwa wanacheza jihad na kwa kiwango kile kile kuanzia mwanzo hadi mwisho...

Kaka usifiche hisia zako za mapenzi kwa Mby City. Kyala alinanuswe daima.
 
huyu kipre ndio hatari zaidi,beki ya kuli inashindwa kumzuia hivyo anapiga sana krosi ambazo ni hatari
 
mbeya city piga hao Azam wakale sembe.
 
Back
Top Bottom