namanyele
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,852
- 610
hahaaaaaa network hakuna Kyela......
mkuu mbeya kila kitu huwa kinaenda sawa siku zote kuanzia soka, siasa, elimu, uchumi na security iko poa kabisa, ukweli unajionesha hapo chamazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaaa network hakuna Kyela......
Dua zangu watoke droo
mkuu mbeya kila kitu huwa kinaenda sawa siku zote kuanzia soka, siasa, elimu, uchumi na security iko poa kabisa, ukweli unajionesha hapo chamazi
boccooooooooooooooooooooooooooooo 2 - 2 ...
Mkuu mimi ni mdau mkubwa wa JF Lounge yote hivyo hata huku nipo sana tu...
Mbeya City ni wazuri sana kwa kuwa wanacheza jihad na kwa kiwango kile kile kuanzia mwanzo hadi mwisho...
azam na mbeya site watoke droo ili ninyi yanga muwe kileleni mkishinda...
mkuu ndetichia nilitabiri tangu mwanzo kuwa leo MCC 2 - LAMBA LAMBA 1
MCC wanafanya uzembe hapa,Azam wanapata kona,kipa anachezewa rafu,inakuwa foul
mwambie babu Azam wamesawazisha..............
Yanga tatu
oyooooo drop hiyo inanukia