Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Kwani mpira umeisha? Haya matokeo sio mazuri haya majamaa ya jangwani yatarudi kileleni, huku mtaani hakutakalika.

Wanajangwani kwenda kileleni mwa msimamo was ligi ni kama kurudi Kaunda (nyumbani) vile.

Wanaweza wasirudi leo lakini lazima baada ya mechi zao zote 26 kumalizika watakuwa pale juu (numero uno)!!
 
hahaaaaaa.Mbeya city bwanaaaaa...Azam 2,Nbeya city 3,hattrick kwa Yeya.wapi Ndetichia

Aksante Mkuu,pande nilizopo Tanesco wameleta mambo zao. Mungu tusimamie Mbeya yote ijawe na vifijo team irejeapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…