Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

nilitamani azam alizwe kwake leo ila imeshindikana, am so sad
 
Hureeeee,Dadi saana mbeya city my home team,but timu ya wananchi ileeee kileleni.

Mbeya atakuwa nafasi ya tatu nyuma ya Azam kwa tofauti ya magoli.Yanga ndio anaongoza kwa sasa
 
watu8; Aisee, hawa Azam wameongezewa glucose yaani wamesawazisha?
 
Last edited by a moderator:
asanteni sana kwa update.ngoja nikajipongeze viti virefu maana kukaa kileleni si kazi ndogo
 
Natamani ligi ingeendelea..mwakani mbali bwana..pongezi kwake@Mwagano Yeya..MC..
 
nini siri ya mafanikio Mbeya City?vigogo kamasi linawatoka
 
tunawakaribisha Azam Fc mbeya kwenye uwanja wa Sokoine,pale hatulazi damu amsha amsha mwanzo mwisho wa siku watachanganyikiwa tu
 
Back
Top Bottom