kwani hii ni yanga na simba?
Huku Mbande mpira umeisha
Azam 3 - 3 Mbeya City
Baba V tumefika kileleni,kufika kileleni ni raha sanaDakika ya pili ya kipindi tatu...
mbeya city na azam wamaliza mzunguko wa kwanza bila kufungwa hata game moja
Nipo Mbande mkuu...tumekuja kutia fitna huku...ila najua Taifa tunaongoza
Yangq vipi jamani
kandukamo1 mambo vipiBahati yao hawa wauza rambaramba dadeki. Wakienda Mby lazima wapakatwe.
Hivi hawa Mbeya City si ndo Julio alidai watashuka daraja?
nilitamani azam alizwe kwake leo ila imeshindikana, am so sad
Daima Milele #teamyanga #