hivi zile nysi za uwanja wa taifa ni andia au natural?kama ni bandia tulipiga soka pale tukawashika msimbazi kwa droo,iweje tushindwe chamazi?
WATOKE SARE AMA DROO.......... ILI TIMU YA TAIFA ( vijana wa Jangwani) IWE YA KWANZA
Vuka kigamboni,panda gari za kongowe,then utachukua gari tena mpaka mbagala rangi tatu,then utachukua ya kwenda chamazi,kukwepa foleni
Au chukua gari ya mbagala rangi tatu,then go to chamazi,mimi pia nitakuepo huko
Nipo njiani kuelekea chamanzi nataka kupata ticket yangu mapema nikae pembeni ninywe juisi kali tayari kwa mtanange.!
Forza Mbeya City wana wa kukaja.!

hatuipendi hiyo tunataka ushindi,Mbeya city juuu
sorry mkuu,ila tupe sapoti mcc
Leo mbeya city lazma wakae.kila la heri azam fc.
Leo ndio leo asemaye kesho muongo. Leo ndio siku ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu.Ni mechi ya kukata na shoka,ni mechi itakayoamua nani awe kileleni mwa msimamo au wote watabaki nafasi ya pili na ya tatu kama watatoka droo na Yanga wakashinda.
Timu zote mbili hazijafungwa mpaka leo hii wanaingia uwanjani kukamilisha mechi za mzunguko wa kwanza.wote wana pointi 26 on top of the table wakitofautiana uwiano wa magoli ya kufunga na kufungwa.Yanga atakuwa anaomba mechi hii iishe kwa droo na yeye ashinde ili akae juu kwenye msimamo wa ligi.
Hii itakuwa mechi ya timu yenye vipaji,kiu ya mafanikio na support kubwa ya fans (Mbeya City) na timu isiyo na shida,wenye kiu ya ubingwa ( azam Fc). Mwisho wa siku aliyejipanga vizuri ataibuka na matoke mazuri.
Binafsi nawatikia ushindi Mbeya City Fc.
[h=5]YANAYOJIRI CHAMAZI.
wale jamaa wamekosa sahemu ya kufukia mayai, na upande wa pili network ya AZAM-PESA (Hii inafanya kazi kama m-pesa) bado inasumbua. (imebuma). tusubiri tuone nn kitatokea teh.[/h]

Mbeya City hawana uwezo wa kuwavimbia Azam, watapigwa kama wamesimama.