Super Thursday: Azam Fc vs Mbeya City Fc

Mbeya city wanapata kona hapa,ngoja tuone,mpira unaokolewa
 
wamechomoa ila ni uzembe wa beki za azam..

Hii sababu "haishiki maji".

Ukiachilia mbali magoli mengi yanayofungwa na ma-genius kama Messi, Ronaldo, etc, magoli mengine karibu yote hutokana na mfungaji ku-capitalise on defensive blunders.
 
Azam wanajenga sana vibanda(kuotea)mpaka sasa washaotea kama mara tisa huku MCC hawajaotea hata mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…