ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
ndivyo ilivyo,ukikosea wenzio wanafanya mambo
ndio mpira ila tuone.. kwani inakatakata sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndivyo ilivyo,ukikosea wenzio wanafanya mambo
Kule TAIFA vipi, Yanga bado hajapakuliwa?
wamechomoa ila ni uzembe wa beki za azam..
Acha wivu hili ni game kubwa!Simba na Yanga zako zimepoteza mechi!Game la kawaida tu, watu ndio wanaolipaisha!
wamechomoa ila ni uzembe wa beki za azam..
wamechomoa ila ni uzembe wa beki za azam..
Yanga 1 oljoro 0 mfungaji Simon Msuva dk 23
acha visingizio...kwani unadhani mnacheza na walemavu!!!
1-1 inatosha sana, uishe hivyo hivyo.
kwa hiyo kama kuna makosa tuuchune tu eti tumefungwa vipi bana...